Halmashauri Arusha yafukuza watatu
Halmashauri ya Arusha Vijijini, wilayani Arumeru imewafukuza kazi watumishi wake watatu na mwingine mmoja akishushwa cheo kutokana na matumizi mabaya ya fedha za halmashauri hiyo na kuiingizia hasara ya mamilioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziHoja za CAG zawaweka matatani watumishi watatu wa Halmashauri
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nkasi kuwakamata watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kwa kula fedha zilizotokana na makusanyo ya Halmashauri na kujikopesha bila ya kuziwasilisha Benki na hatimae kuendelea kuibua hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG).
Mh. Wangabo ameipa TAKUKURU siku saba kuhakikisha watumishi hao waliokula kiasi cha Shilingi 27,674,300/= wanarudisha...
Mh. Wangabo ameipa TAKUKURU siku saba kuhakikisha watumishi hao waliokula kiasi cha Shilingi 27,674,300/= wanarudisha...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Watatu wajeruhiwa ajalini mkoani Arusha
Wanafunzi zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya gari lililokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru, ulioanza mbio zake mkoani Arusha jana kupata ajali na kusababisha wanafunzi wawili na mwalimu mmoja kujeruhiwa.
11 years ago
MichuziMAJAMBAZI WATATU WAUWAWA JIJINI ARUSHA
WATU watatu wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wameuwawa jijini Arusha walipokuwa katika harakati ya kwenda kupora mamilioni ya fedha zilizokuwa zinapelekwa benki na kampuni ya Arusha Islamic Centre inayohusika na utengenezaji na uuzaji wa vigae iliyopo eneo la Esso mjini hapa.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini Arusha leo, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas amesema kuwa,majambazi hao watatu waliuawa jana tarehe 3 eneo la TBL -Njiro wakiwa kwenye harakati za...
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini Arusha leo, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas amesema kuwa,majambazi hao watatu waliuawa jana tarehe 3 eneo la TBL -Njiro wakiwa kwenye harakati za...
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Wakenya watatu wauawa kwa ujambazi Arusha
Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha.
10 years ago
GPLSIMBA YAFUKUZA MAKOCHA
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Aliyekuwa Kocha msaidizi, Selemani Matola (kushoto) akifuatilia mazoezi. Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya…
11 years ago
Habarileo12 Dec
CCM waibana Halmashauri ya Jiji Arusha
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha miradi yote iliyokuwa imeanza kujengwa inakamilika kwa wakati bila ya kuwa na visingizio.
11 years ago
MichuziMAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwa hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni...
11 years ago
BBCSwahili08 Mar
Rwanda yafukuza afisa wa Afrika Kusini
Rwanda na Afrika Kusini yajibizana, kila mmoja afukuza wanabalozi wa mwenzake
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania