Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri ya Mji Handeni lawamani

MKUTANO wa kwanza wa taasisi ya Handeni Kwetu Foundation uliyofanyika juzi Novemba 19, katika kijiji cha Misima, wilayani Handeni, mkoani Tanga na kuwakutanisha wananchi wote umeibua kero nyingi za wananchi, ikiwamo ya kijiji chao kuingizwa kwenye Halmashauri ya Mji bila ridhaa yao. Mmoja wa wakazi na wananchi wa kijiji cha Misima, akilalamikia eneo lao kuingia kwenye Halmashauri ya Mji kinyume cha sheria ya utawala bora, ikiwa ni pamoja na kutoshirikishwa kwa lolote na viongozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri Namtumbo lawamani

HALMASHAURI ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, imelalamikiwa kukithiri kwa urasimu na vitendo vya rushwa katika kitengo cha zabuni na manunuzi ukilinganisha na Wilaya nyingine mkoani hapa. Malalamiko hayo yalitolewa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi washiriki ukarabati wa barabara Halmashauri ya Mji wa Tarime!!

Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Chira Kata ya Kenyamanyoro katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakishiriki zoezi la ukarabati mdogo wa barabara ya Muturu (Remaghinga) iliyopo Mtaa wa Buguti Kata ya Rebu ambayo inayotegemewa na Wakazi Kata zote mbili za Kenyamanyori na Rebu hatika halmashauri hiyo. Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group   Zoezi hilo limefanyika leo Januari 02,2016 ambapo wananchi hao walikuwa wakifanya ukarabati wa kujaza moramu katika maeneo...

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya Mji Njombe yawezesha Vikundi vya WAVIU

Halmashauri ya Mji Njombe imetoa msaada wa fedha wenye thamani ya shilingi Million tano (5,000,000/=) kwa vikundi vya Wajasiriamali vya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU), ambapo fedha hizo zitatumika kuendeleza miradi mbalimbali iliyoanzishwa na iliyopendekezwa kuanzishwa na vikundi hivyo.
Mratibu wa Ukimwi katika Halmashauri ya Mji Njombe Ndugu Daniel Mwasongwe alisema, fedha hizo zimetolewa kwa lengo la kuviwezesha vikundi hivyo kuongeza kipato ambacho kitawasaidia...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia aiahidi Sengerema halmashauri ya mji CCM ikichaguliwa

Mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan ameahidi kuufanya Mji wa Sengerema kuwa halmashauri, endapo wananchi watampa ridhaa ya kuingia Ikulu, Dk John Magufuli.

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA MJI KONDOA KUTOA CHANJO ZOTE KWA MIFUGO


Idara ya Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji Kondoa imejipankuendelea kutoa chanjo ya magonjwa ya Mifugo kulingana na kalenda ya chanjo inavyoonyesha kwa mwaka mzima.
Hayo yalibainishwa na Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Mji Bi. Monica Kimario wakati wa utoaji wa chanjo ya ugonjwa wa Kimeta na Chambavu kwa mifugo ya kata ya Kingale.
“Nawasihi sana wafugaji wa Kata ya Kingale washiriki katika zoezi hili kwa kuleta mifugo yao katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya utoaji wa chanjo...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI MERU LAPENDEKEZA HALMASHAURI HIYO KUWA YA MJI






Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Meru wakifuatilia kikao chao kikiendelea kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa na hadhi ya mji picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Kikao kikiendelea na kupendekeza halmashauri hiyo kuwa ya Mji badala ya Sasa wilaya.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Meru Akiongoza kikao cha baraza la madiwani kwenye halmashauri ya Meru akiwa na Mkurugenzi wake Emmanuel Mkongo
Diwani Malula Mafie akichangia kwenye kikao hicho Cha Baraza la...

 

5 years ago

Michuzi

DC MSHAMA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA

MKUU wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ,amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Kibaha na timu yake kufunga hoja 18 zilizokuwa hazijafungwa kwa mwaka 2017/2018 na kufanyia kazi maelekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG ),ndani ya wiki moja.

Aidha ametoa maagizo mengine makubwa manne kwa halmashauri hiyo ikiwemo kuepuka kuingia mikataba mibovu inayosababisha hasara baadae na kudhibiti vyanzo vya ndani vya mapato.

Akizungumza katika...

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi

Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi  ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani