Halmashauri Namtumbo lawamani
HALMASHAURI ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, imelalamikiwa kukithiri kwa urasimu na vitendo vya rushwa katika kitengo cha zabuni na manunuzi ukilinganisha na Wilaya nyingine mkoani hapa. Malalamiko hayo yalitolewa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Nov
Halmashauri ya Mji Handeni lawamani
11 years ago
Dewji Blog22 Jul
Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Maabara Namtumbo 95%
AGIZO la Rais Jakaya Kikwete la ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule zote za sekondari nchini, limetekezwa vizuri wilayani Namtumbo, ambapo wananchi kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya wamefanikisha kazi hiyo kwa asilimia 95.
10 years ago
Habarileo11 Jul
Namtumbo wakamilisha maabara
AGIZO la Rais Jakaya Kikwete la ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule zote za sekondari nchini, limetekelezwa vizuri wilayani Namtumbo ambapo wananchi kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya wamefanikisha kazi hiyo kwa asilimia 95.
11 years ago
Habarileo07 Jul
JK kuzindua barabara ya Songea -Namtumbo
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua miradi miwili ya miundombinu ya barabara kutoka Songea hadi Namtumbo yenye kilometa 71.4 na Peramiho hadi Mbinga ya kilometa 78.
11 years ago
Daily News27 Mar
Namtumbo school head sacked
Namtumbo school head sacked
Daily News
THE Executive Director of Namtumbo District Council, Mr Mohamed Maje, has fired a head teacher and a Ward Coordinator for alleged various irregularities. The move comes after the two refused to give permission to officers from the Education Department to ...
11 years ago
Habarileo22 May
Namtumbo wadaiwa kuogopa ng’ombe
MBUNGE wa Namtumbo, Vita Kawawa (CCM), ameliambia Bunge jana kuwa wananchi wa wilaya hiyo wanaogopa ng’ombe, kwa sababu hawakuzoea kuwaona na wamezoea kilimo. Kawawa alisema Wilaya ya Namtumbo ni wakulima na kuna ng’ombe 300,000 ambao wamefukuzwa kutoka Wilaya ya Ulanga na wamekimbilia katika mabonde ya vyanzo vya maji.
9 years ago
Habarileo23 Dec
Madiwani Namtumbo wamfagilia Magufuli
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma limempongeza Rais John Magufuli, kutokana na hatua anazochukua zinazolenga kubana na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za serikali na kuwachukulia hatua watumishi wanaokiuka maadili ya utumishi wa umma. Aidha, wamemshukuru Rais Magufuli kwa uamuzi wake wa kuteua wabunge wanne kuunda Baraza jipya la Mawaziri kutoka mkoa wa Ruvuma.