Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namtumbo wadaiwa kuogopa ng’ombe

MBUNGE wa Namtumbo, Vita Kawawa (CCM), ameliambia Bunge jana kuwa wananchi wa wilaya hiyo wanaogopa ng’ombe, kwa sababu hawakuzoea kuwaona na wamezoea kilimo. Kawawa alisema Wilaya ya Namtumbo ni wakulima na kuna ng’ombe 300,000 ambao wamefukuzwa kutoka Wilaya ya Ulanga na wamekimbilia katika mabonde ya vyanzo vya maji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua Barabara ya Songea-Namtumbo, azindua Hospitali mpya ya Wilaya ya Namtumbo leo

unnamed (46)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwagilia maji mti wa kumbukumbu aliupanda muda mfupi baada ya kuzindua barabara ya Songea hadi Namtumbo yenye urefu wa kilomita 71.4 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo leo. Wapili kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Watatu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile, Wanne ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania Bwana Bernard Mchomvu,Wapili kulia ni mbunge wa Namtumbo Vita...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe TZ

Wanawake Tanzania wapiga hatua na kujiimarisha katika mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe.

 

10 years ago

Bongo5

YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili. Akizungumza ba BONGO 5 jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa […]

 

11 years ago

GPL

DAVINA AJIFUA KUOGOPA KUACHIKA

STORI: IMELDA MTEMA
Halima Yahya ‘Davina’, staa wa sinema Bongo, amefunguka kuwa anajitahidi kufanya mazoezi ili mwili wake usizeeke akaachika kwa mumewe. Halima Yahya ‘Davina’. Akipiga stori na paparazi wetu, Davina alisema mikakati yake ni kuhakikisha ndoa yake inashamiri miaka yote.
“Sikubali kuachika, siri ya kulinda ndoa yangu ni mazoezi tu, acha nijifue mwanzo mwisho,”...

 

11 years ago

Habarileo

Wajane wadhulumiwa kwa kuogopa kulogwa

WANAWAKE wajane wanaodhulumiwa mali baada ya kufiwa na waume zao wilayani Kyela, wamedaiwa kutofuata hatua za kisheria kwa kuogopa kurogwa na kudhalilisha ukoo.

 

9 years ago

Bongo5

AY awataka wasanii kuacha kuogopa kuuliza mambo wasiyoyajua

Rapper AY amewataka wasanii wa Tanzania kuacha woga wa kuuliza vitu wasivyovijua. AY ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa wasanii wengi wa Tanzania ni waoga wa kuuliza. “Wasanii wa Tanzania ni waoga kuuliza yale wasioyajua au wanayajua ila hawana uhakika nayo,” alisema. “Wengine hudhani kuwa wanajua mengi kuliko waliowatangulia. Tusiwe waoga kuuliza na kufatilia yanayohusu tasnia […]

 

10 years ago

Vijimambo

Klabu yahofia kumwachia Traore kuogopa kupata maambukizi ya Ebola

Mchezaji soka, Ibrahima Traore (pichani) ameiomba klabu yake ya Ujerumani Borussia Monchengladbach kumruhusu kuichezea timu yake ya taifa ya Guinea katika fainali ya kufuzu kwa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika 2015.

Madaktari wa klabu hiyo wameelezea wasiwasi kuwa huenda akaambukizwa Ebola ikiwa ataenda kuichezea klabu yake nchini Guinea.

Timu ya taifa ya Guinea ,Syli Nationale itacheza katika mechi ambayo lazima washinde dhidi ya Uganda nchini Morocco ambako mechi hiyo ilihamishiwa kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Awasha moto kituo cha petroli kwa kuogopa buibui

Mwanamume mmoja raia wa Marekani amewastaajibisha wengi baada ya kuwasha moto kituo cha kuuzia mafuta ya petroli eti anachoma buibui.

 

10 years ago

Vijimambo

LULU MICHAEL Agoma kumtaja BABA wa Mimba yake ...Kisa Kuogopa KUROGWA

\lizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani