Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Halmashauri zishirikishe wananchi maandalizi ya bajeti’

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk. Hamis Kigwangala, amezitaka sekretarieti za mikoa na halmashauri nchini kuhakikisha zinawashirikisha wananchi katika maandalizi ya bajeti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

11 years ago

Mwananchi

Asilimia 20 ya bajeti hupotelea halmashauri

Wizi wa fedha za umma kwenye halmashauri mbalimbali nchini unasababishwa na elimu ndogo ya baadhi ya madiwani ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa fedha hizo, imeelezwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri yaomba bajeti ya bil. 35/-

BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora limeomba kuidhinishiwa kiasi cha sh 35,455,837,199 kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akisoma taarifa ya bajeti hiyo, Kaimu Ofisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri Ushetu yapitisha bajeti bil. 32/-

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga limepitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya sh bilioni 32.5 kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Akisoma mapendekezo...

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama

SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi inayoundwa na wadau wa watoto jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu mzima wa utendaji kazi wa kamati ndogo ndogo zilizoundwa kwa wajumbe (hawapo pichani) ili kuweza kufanikisha maadhimisho hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bi Eluminata Mwita akisikiliza jambo kwa makini toka kwa wajumbe (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana, KIVULINI Bw Ramadhani Masele (kushoto)...

 

5 years ago

Michuzi

DC KARATU AWAPONGEZA WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA KUANDAA BAJETI BORA


Na Woinde Shizza ,KARATU

Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Muhongo amewapongeza watendaji wa Halmashauri kwa kuandaa bajeti bora iliyokidhi mahitaji ya kila sekta.

Aliyasema hayo juzi katika Kikao maalumu cha kamati ya ushauri wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, na kuongozwa na mkuu wa wilaya hiyo ambaye pia ni mwenyekiti katika Kikao hicho ambacho jukumu lake ni kushauri na kilifanya mapitio ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kuridhia kupitisha bajeti hiyo.

Alisema kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI DODOMA KESHO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (Kulia), Naibu Katibu Mkuu Mwamini Malemi (kushoto) wakiwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika Kikao cha Maandalizi ya Kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo inayotarajiwa kuwasilishwa Tarehe 15 Mei, 2014 katika Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ACHOSHWA NA BAJETI ZA UPIMAJI ARDHI HALMASHAURI ZA MKOA WA KAGERA










Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti ofisini kwake jana alipowasili mkoani Kagera akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mkoani humo.



Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti (kushoto) jana baada ya kuzungumza naye ofsini kwake akiwa katika ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani