Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 20 ya bajeti hupotelea halmashauri

Wizi wa fedha za umma kwenye halmashauri mbalimbali nchini unasababishwa na elimu ndogo ya baadhi ya madiwani ambao ndiyo wasimamizi wakuu wa fedha hizo, imeelezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Uchaguzi yaongezeka kwa asilimia 16

>Waziri wa Fedha, Saada Mkuya leo atawasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/16 ambayo wachambuzi wameielezea kuwa itakuwa na unafuu kwa wananchi kutokana na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri yaomba bajeti ya bil. 35/-

BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora limeomba kuidhinishiwa kiasi cha sh 35,455,837,199 kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akisoma taarifa ya bajeti hiyo, Kaimu Ofisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya wilaya ya Morogoro yapunguza maambukizi ya Malaria kwa asilimia nane

01

Nyumba ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Mkuyuni ambayo imefunguliwa  na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Ndugu Juma Khatib Chum ili watumishi hao waweze kuishi karibu na Kituo hicho.

Na Andrew Tangazo Chimesela – Morogoro

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, imefanikiwa kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa  asilimia 8 ukilinganisha na maambukizi ya ugonjwa huo mwaka 2014.

Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Dkt. Mwanahamisi Yahya ambaye ni Kaimu mganga wa kituo cha Afya cha...

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya mji wa Kahama yapokea ushuru wa asilimia 0.3 kutoka mgodi wa Buzwagi

Kampuni ya ACACIA kupitia mgodi wake wa Buzwagi uliopo kwenye halmashauri ya mji wa Kahama,imeipatia ushuru wa asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi halmashauri hiyo,ikiwa ni ushuru kwa kipindi cha miezi sita (Julai - Disemba,2014) ambayo ni zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800,uliokabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama.Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi  ulio chini ya Kampuni ya ACACIA,Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Halmashauri zishirikishe wananchi maandalizi ya bajeti’

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk. Hamis Kigwangala, amezitaka sekretarieti za mikoa na halmashauri nchini kuhakikisha zinawashirikisha wananchi katika maandalizi ya bajeti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri Ushetu yapitisha bajeti bil. 32/-

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga limepitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya sh bilioni 32.5 kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Akisoma mapendekezo...

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama

SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.

 

11 years ago

Michuzi

Halmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana

Halmashauri zote nchini zinawajibika kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya vijana pamoja na kuwatengea vijana asilimia 5 ya mapato ya halmashauri husika kwa ajili ya kuwezesha shughuli hizo.
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...

 

5 years ago

Michuzi

DC KARATU AWAPONGEZA WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA KUANDAA BAJETI BORA


Na Woinde Shizza ,KARATU

Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Muhongo amewapongeza watendaji wa Halmashauri kwa kuandaa bajeti bora iliyokidhi mahitaji ya kila sekta.

Aliyasema hayo juzi katika Kikao maalumu cha kamati ya ushauri wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, na kuongozwa na mkuu wa wilaya hiyo ambaye pia ni mwenyekiti katika Kikao hicho ambacho jukumu lake ni kushauri na kilifanya mapitio ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kuridhia kupitisha bajeti hiyo.

Alisema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani