Hamad Rashid: Mbunge wa Jimbo la Wawi
Historia yake Hamad Rashid Mohammed ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha wananchi wa Jimbo la Wawi, Pemba. Alizaliwa Machi Mosi, 1950 huko Zanzibar na kusoma katika shule ya msingi ya wavulana ya Chake kati ya mwaka 1958 hadi 1967. Amesoma Sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne) kati ya mwaka 1968–1970 katika Shule ya Sekondari Chanjamjawiri huko huko Zanzibar (Mzunguko wa Kwanza).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JfCSvBjOz7o/Xl00-TSTwAI/AAAAAAALgcc/pYrwQaJeVOsSH6T69UXEEMiAHx74i8PtACLcBGAsYHQ/s72-c/5T7A1682AAA-1-768x512.jpg)
MBUNGE WA JIMBO LA WAWI CUF VISIWANI PEMBA AJIUNGA NA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-JfCSvBjOz7o/Xl00-TSTwAI/AAAAAAALgcc/pYrwQaJeVOsSH6T69UXEEMiAHx74i8PtACLcBGAsYHQ/s640/5T7A1682AAA-1-768x512.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-pBr9sPRm5GA/Xl00-Q25lDI/AAAAAAALgcY/YSvBzKhnhGc9oFbBu18QoFJVaWXCJ6liQCLcBGAsYHQ/s640/5T7A1882AA-768x512.jpg)
Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa amepokea maombi ya Mbunge wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF kuomba kujiunga na CCM.
Hatua hiyo imekuja baada ya Ndugu Ahmed Juma Ngwali kuusimamisha msafara wa Ndugu Polepole, kuomba kujiunga na CCM na kutangaza kujivua nafasi zake zote ndani ya Chama cha CUF.
![](https://1.bp.blogspot.com/-q7a8-clDw1U/Xl00-NbaaWI/AAAAAAALgcU/VVnlOq-3k4kJjAxu9CLvTV3tmSMgrUrYgCLcBGAsYHQ/s640/5T7A1682AAA-768x512.jpg)
10 years ago
Habarileo09 Sep
Hamad Rashid kugombea urais Zanzibar
MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ametangaza kugombea urais wa Zanzibar huku akimtuhumu na kumkosoa Katibu Mkuu wa chama chake, Seif Sharif Hamad.
10 years ago
Mwananchi25 Aug
ADC wapongeza uamuzi wa Hamad Rashid
11 years ago
Mwananchi02 May
Hamad Rashid: Nitagombea urais 2015
10 years ago
IPPmedia20 Aug
Chairman of CA Committee Number Five Hamad Rashid
IPPmedia
IPPmedia
A tug of war emerged in the ongoing Constituent Assembly (CA) here yesterday when some debaters suggested that Special Seat posts should remain as they are while others were of the view that the present arrangement should change as proposed in the ...
Voters 'cannot recall their MP'Daily News
all 2
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Miraj, Hamad Rashid wavurugana ADC
10 years ago
Daily News24 Jul
Hamad Rashid quits CUF, joins ADC
Daily News
THE opposition Civic United Front (CUF) suspended Member of Parliament (MP) for Wawi constituency, Mr Hamad Rashid Mohamed, defected to the Alliance for Democratic Change (ADC) party and was given membership card number one. He used ...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
ADC yajivunia Hamad Rashid kugombea urais
CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimempongeza Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed kwa kuonesha nia ya kugombea urais kwa chama hicho. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar...
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Hamad Rashid awa mwanachama namba moja ADC