Hanscana aonesha mkwanja aliovuna kwa kuongoza video za muziki (Picha)
Mshindi wa tuzo za watu 2015 kwenye kipengele cha muongozaji wa video za muziki anayependwa, Hanscana ameonyesha sehemu ya pesa alizochuma hadi sasa kama ishara ya mafanikio katika kazi zake.
Hanscana ambaye kwa mwaka huu anadaiwa kuwa mwongozaji wa video aliyefanya kazi nyingi zilizopata mafanikio makubwa ndani na hata nje ya nchi, hivi karibuni alishare picha hiyo kwenye Instagram na kuandika: Umaskini TUMEZALIWA NAO utajiri TUTAKUFA NAO.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Jan
Afande Sele aonesha mjengo alioujenga kupitia pesa ya muziki (Picha)
![Afande Selle](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Afande-Selle-300x194.jpg)
Msanii mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele ameonesha nyumba aliyoijenga nje ya mji wa Morogoro kupitia pesa za muziki.
Rapa huyo ambaye mwaka 2015 aligombea ubunge katika jimbo la Morogoro mjini kupitia ACT, ameiambia Bongo5 kuwa anakamilisha mjengo wake na kurudi kijijini.
“Muziki ulishatupaga heshima. Hii pia ndio culture yetu rasta hata Babu Burning Spear alirudi shamba. Huu ni wito FEEDTHE NATION,” amesema Afande.
Ameongeza,“Sijaacha muziki ila muziki ndio umeniacha....
9 years ago
Bongo529 Sep
Picha: Kundi la Best Life Music (Burundi), lashoot video ya wimbo wake na muongozaji wa Rwanda baada ya Hanscana kuwa ‘busy’
10 years ago
Bongo528 Feb
Picha: Director Hanscana aanza kuringishia matunda ya kazi yake, apost picha akiwa ametandaza milioni kadhaa
9 years ago
Bongo525 Nov
Hanscana aenda Afrika Kusini kutafuta connection za kimataifa na kuongeza ujuzi kwa Justin Campos (picha)
![Hanscana na campos-5](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Hanscana-na-campos-5-300x194.jpg)
Muongozaji na mtayarishaji wa video Hanscana yuko nchini Afrika Kusini, alikoenda kwaajili ya kuongeza ujuzi pamoja na kutafuta connection za kuwezesha kazi zake zifike kwenye vituo vya runinga vya kimataifa.
Hanscana akiwa an Justin Campos na mkewe Candice
Wiki hii Hanscana amekuwa akipost picha mbalimbali Instagram akiwa na director Justin Campos na mke wake Candice Campos ambaye pia ni producer wa video wa kampuni ya Gorilla Films.
Hanscana amepiga story na Bongo 5 na ametueleza...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NCgCraIBOQU/VUutED9AZQI/AAAAAAAHWNc/ly010DrcIhM/s72-c/DSCF2245.jpg)
EFM kuongoza Sherehe za Miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature
![](http://3.bp.blogspot.com/-NCgCraIBOQU/VUutED9AZQI/AAAAAAAHWNc/ly010DrcIhM/s640/DSCF2245.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AmFfKIHqioM/VUutEAhmygI/AAAAAAAHWNg/gV3YA0OUTTo/s640/DSCF2234.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s72-c/Nasib.jpg)
HII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wQBo6DQkfVg/VPcSdzH5RRI/AAAAAAAAuEk/Cbz_SUiqFII/s640/Nasib.jpg)
9 years ago
Bongo517 Nov
New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’
![avril](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/avril-300x194.jpg)
Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.
Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...
9 years ago
Bongo511 Nov
Jux aonesha milioni 100 kwenye Instagram (Picha)
![page](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/page-300x194.jpg)
Kumiliki shilingi milioni 100 kwa wakati mmoja kwa watu wengi ni ndoto nadra kutimia. Kwa Jux hizo ni fedha anazozishika kila wakati na ndio maana haoni hatari kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amepost picha za fedha hizo zilizo kwa dola na kuandika:
It’s 50k in USD, its 100million in TSHs I think I don’t have a bad weekend I saw my first 100mil when I was 22 now it’s not new anymore go hard everything is possible in God I trust don’t forget...
10 years ago
Bongo502 Dec
Picha: Madonna aonesha chuchu zake kwenye jarida la ‘Interview’