HAPA KAZI TU†YAWAWEKA SAWA WAFANYAKAZI WA DAWASCO
![](http://3.bp.blogspot.com/-2hMokAyeTKk/VlrO9qy1JNI/AAAAAAAAUcI/gCMCHR1a5fk/s72-c/1.jpg)
Ofisa Mtendaji wa Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (Dawasco), Mhandisi Cyprian Luhemeja, akizungumza katika mkutano na wafanyakazi uliofanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Dawasco jijini Dar es Salaam kuhusu utendaji kazi wa kazi.
Wafanyakazi wa Dawasco wakimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wao.
Na Dotto MwaibaleUle usemi maaarufu wa "Hapa kazi tu"unaendelea kuimbwa na kufanyiwa kazi na Watanzazia wengi hususani watumishi wa Umma na serikali ili kuendana na kasi ya awamu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Vanessa awataka wasanii kutumia falsafa ya ‘hapa kazi tu’
NA MWANDISHI WETU
MSANII Vanessa Mdee ambaye ni mmoja wa wanamuziki wanaoshiriki onyesho la Coke Studio linaloendelea, amewaasa wanamuziki wa Tanzania kufanya kazi kwa bidi na kuzingatia falsafa ya ‘hapa kazi tu’ iliyoanzishwa na Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, John Magufuli.
Akizungumza na vijana juu ya mafanikio yake jijini Dar es Salaam jana, Vanessa alisema kuwa mafanikio aliyonayo hayakuja kama mvua, bali yametokana na kufanya kazi kwa bidii, kujiamini na kuwa mbunifu.
“Mafanikio...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ubZMmQ9S5VA/VhQ2Pu8EQnI/AAAAAAAH9XM/lF84WPWX6dM/s72-c/download.jpg)
DAWASCO YAZINDUA RASMI KAMPENI YA “MAMA TUA NDOA KICHWANI”
![](http://4.bp.blogspot.com/-ubZMmQ9S5VA/VhQ2Pu8EQnI/AAAAAAAH9XM/lF84WPWX6dM/s1600/download.jpg)
Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo, Afisa mtendaji mkuu wa Dawaso, Mhandisi...
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Bunge liitikie wito wa “Hapa Kazi Tuâ€
BUNGE lililopita linaweza kukumbukwa kwa mengi; lakini kwa wengi wetu tutalikumbuka kama Bunge la
Lula wa Ndali Mwananzela
9 years ago
MichuziHoja ya haja: Kasi ya “HAPA NI KAZI TU†ni nzuri, ila itekelezwe kwa tahadhari kubwa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yYruf1t-f4M/XmuNY3o2c4I/AAAAAAAC8bY/JihAvaiAr9QZVB6ePVHtXVwRY-vSsFllACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU†YAWA CHACHU YA MAENDELEO KWA MNUFAIKA WA TASAF MKOANI SINGIDA
James Mwanamyoto - Singida
Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), Bibi Edith Brayson Makala mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa Manispaa ya Singida, Mtaa wa Sokoine, amesimamia vema Kauli Mbiu ya HAPA KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambayo imemuwezesha kuinua uchumi wa familia yake kupitia ruzuku ya TASAF.
Akitoa ushuhuda jana, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kamati hiyo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-AuRhG-nEgWs/VUrUm-4Ja3I/AAAAAAAAPEg/wtupvvPNWM4/s72-c/E86A6106%2B(800x533).jpg)
MKURUGENZI MUWSA ,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AWAAGA WAFANYAKAZI,NI BAADA YA KUHAMISHIWA DAWASCO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-AuRhG-nEgWs/VUrUm-4Ja3I/AAAAAAAAPEg/wtupvvPNWM4/s640/E86A6106%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-46smSm4aufo/VUrU0g9eewI/AAAAAAAAPEo/U5xiPJuhtKA/s640/E86A6109%2B(800x533).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qKng9C9W1NU/VUrVSdkJ9BI/AAAAAAAAPE4/NSj2mNn0wqE/s640/E86A6115%2B(800x533).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TUBRyAUTDFk/VUrVjXH7PBI/AAAAAAAAPFY/6v8yJDsZV2Y/s640/E86A6147%2B(800x533).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-o526LeQTMUE/VUrVXzQf0LI/AAAAAAAAPFI/uQMvGZjHbEQ/s640/E86A6133%2B(800x533).jpg)
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Hapa kazi tu na utendaji kazi wa staili ya jeshi la mtu mmoja
RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ameanza kazi kwa staili ambayo si mpya hapa nchini.
Yahya Msangi
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA.
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.
Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi mara baada ya kuanza kazi rasmi katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE, Obedi Mbaga.
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...