Hapa Yanga, kule Azam hapatoshi
‘Cheche cheche... Simizi kambeba Tembo,’ huo ni wimbo utakaotawala leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wakati kocha wa Yanga, Marcio Maximo atakapoonyesha kazi kijana wake Mecky Mexime wa Mtibwa Sugar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Hapa Ngoma, kule Tchetche hapatoshi
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Hapa Real ‘BBC’, kule Barca ‘MNS’
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Hatari tupu! Utajiri wa MSANJA MKANDAMIZAJI UNATISHA! Diamond, Jide tupa kule. Tazama hapa
UTAJIRI wa komediani maarufu nchini Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.
Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.
HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]
The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!
Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..
9 years ago
Habarileo07 Jan
Yanga, Mtibwa hapatoshi
MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo watakuwa na kazi nzito watakapomenyana na Mtibwa Sugar katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Yanga, KMKM hapatoshi
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga na wale wa Zanzibar KMKM wanakutana leo katika mchezo muhimu wa michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa.
Mchezo huu ni muhimu, kwasababu mshindi ataungana na Gor Mahia ya Kenya, Khartoum ya Sudan ambao tayari wamejihakikishia kuingia robo fainali katika kundi A baada ya kila mmoja kujipatia ushindi katika michezo ya awali.
Yanga na KMKM wao wana pointi tatu kila mmoja baada ya kushinda michezo moja...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...