HATA HUKU NCHINI UINGEREZA TUNAPIGA NYUNGU SANA TU-DK.ASHA-ROSE MIGIRO

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amesema katika kukabiliana na virusi vya Corona hata huko waliko nako wanapiga Nyungu(kujifukiza) kama kawaida maana kila mtu anatafuta namna ya kujiokoa.
Dk.Migiro amesema hayo leo Mei 11 mwaka 2020 na kufafanua licha ya kwamba yeye na Watanzania wengine kuwepo Uingireza ukweli wanatambua nyungu ni kitu cha asili na huko wanapiga nyungu sana tu."Unajua kila mtu anatafuta njia mbalimbali za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
HATA HUKU NCHINI UINGEREZA TUNAPIGA NYUNGU SANA TU-DK.ASHA-ROSE MIGIRO

BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amesema katika kukabiliana na virusi vya Corona hata huko waliko nako wanapiga Nyungu(kujifukiza) kama kawaida maana kila mtu anatafuta namna ya kujiokoa.
Dk.Migiro amesema hayo leo Mei 11 mwaka 2020 na kufafanua licha ya kwamba yeye na Watanzania wengine kuwepo Uingireza ukweli wanatambua nyungu ni kitu cha asili na huko wanapiga nyungu sana tu."Unajua kila mtu anatafuta njia mbalimbali za...
11 years ago
MichuziDKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Michuzi
Dkt Asha-Rose Migiro apata wadhamini wa kutosha mkoani Kigoma leo

Katibu wa ccm wilaya ya Kigoma Novati Kibadi akimkabithi form Dkt. Migiro zenye majina 45 alizodhaminiwa na wakazi wa kigoma

10 years ago
Michuzi
Waziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini

10 years ago
Vijimambo
Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali
10 years ago
Vijimambo
SALMA MOSHI AZIDI KUTESA DAR AKUTANA NA MHE. ASHA-ROSE MIGIRO

11 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima
11 years ago
Michuzi15 May