HATA HUKU NCHINI UINGEREZA TUNAPIGA NYUNGU SANA TU-DK.ASHA-ROSE MIGIRO
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amesema katika kukabiliana na virusi vya Corona hata huko waliko nako wanapiga Nyungu(kujifukiza) kama kawaida maana kila mtu anatafuta namna ya kujiokoa.
Dk.Migiro amesema hayo leo Mei 11 mwaka 2020 na kufafanua licha ya kwamba yeye na Watanzania wengine kuwepo Uingireza ukweli wanatambua nyungu ni kitu cha asili na huko wanapiga nyungu sana tu."Unajua kila mtu anatafuta njia mbalimbali za...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziHATA HUKU NCHINI UINGEREZA TUNAPIGA NYUNGU SANA TU-DK.ASHA-ROSE MIGIRO
BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amesema katika kukabiliana na virusi vya Corona hata huko waliko nako wanapiga Nyungu(kujifukiza) kama kawaida maana kila mtu anatafuta namna ya kujiokoa.
Dk.Migiro amesema hayo leo Mei 11 mwaka 2020 na kufafanua licha ya kwamba yeye na Watanzania wengine kuwepo Uingireza ukweli wanatambua nyungu ni kitu cha asili na huko wanapiga nyungu sana tu."Unajua kila mtu anatafuta njia mbalimbali za...
11 years ago
MichuziDKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
MichuziDkt Asha-Rose Migiro apata wadhamini wa kutosha mkoani Kigoma leo
Katibu wa ccm wilaya ya Kigoma Novati Kibadi akimkabithi form Dkt. Migiro zenye majina 45 alizodhaminiwa na wakazi wa kigoma
Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumdhamini Dkt. Migiro wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa ccm mkoa wa Kigoma wakimsikiliza mgeni waoMhe Migiro akishukuru baada ya kukabithiwa fomu za wadhamini. Chini akishiriki kuimba na meza kuu baada ya kukabidhiwa fomu za wadhaminiMhe. Migiro akiongea na wana habari baada ya zoezi la kukabidhiwa majina ya wadhamini katika...
10 years ago
MichuziWaziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini
10 years ago
VijimamboHotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali
9 years ago
VijimamboSALMA MOSHI AZIDI KUTESA DAR AKUTANA NA MHE. ASHA-ROSE MIGIRO
11 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima
11 years ago
Michuzi15 May