HATARI: KIYOYOZI KINACHOHATARISHA TRANSFOMA ILIYO CHINI
Picha ya nyumba iliyo na kiyoyozi chenye bomba limwagalo maji. Bomba la kiyoyozi likionekana kwa karibu zaidi, pembani kukiwa na uchafu mwingi unaolifanya eneo hilo kuwa la watu kujisaidia haja ndogo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba
11 years ago
CloudsFM09 Jun
ILE RECORD LABEL INAYOTENGEZA KAZI ZA WASANII ILIYO CHINI PRODUCER MSWAKI IMEKUFA
Ile record label iliyotengeneza kazi za wasanii kama Linex, Wayre, Maunda Zoro, Q Chillah, TID Mnyama hapa naizungumzia black curtains iliyokua chini ya wakurugenzi wawili Producer Mswaki na mwenzake imevunjika na badala yake Mswaki amejiunga na watu wengine na kuunda record label nyingine.
Mswaki akatoa deal kwa wasanii watakao kuwa tayari kufanya kazi na label hiyo iliyopo Mikocheni karibu na hospitali ya Kairuki.
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Kocha Laszlo Boloni: Cristiano Ronaldo ni hatari juu na chini
10 years ago
VijimamboHAKI ILIYO CHELEWESHWA NI HAKI ILIYO NYIMWA"
Atley Kuni- Afisa habari Mwanza.
Halmashauri za majiji na manispaa zimehimizwa...
5 years ago
MichuziWAZAZI WANAPASWA KUFUATILIA MIENENDO YA WATOTO WAO WALIO CHINI YA MIAKA MITANO KUEPUSHA HATARI INAYOWEZA KUWAKABILI.
Daktari wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Lucy Mpayo amesema kuwa, ulinzi wa watoto walio chini ya miaka mitano unaanzia kwa mzazi/ mlezi na jamii kwa ujumla.
Dk. Lucy amesema kuwa, watoto hao wanapaswa kuangaliwa kwa ukaribu kwa sababu uwezo wao wa kujilinda bado ni mdogo na kwamba hawawezi kupambana na hatari yoyote inayojitokeza dhidi yao.
Amesema kuwa, kutokana na hali hiyo, wazazi,walezi na jamii kwa ujumla wanapaswa kuwalinda watoto hao hali ambayo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DTny9W4dOd4QlsAi4W9RyOLzcn8qSagD90cDXecL2*BTlGoDzeNKJ6cpVeclTGlRQLTWOcQQgfofIHSxxlxesdy/kajala.jpg?width=650)
KAJALA: KIYOYOZI CHA CHINA KIMENIBADILISHA
11 years ago
Habarileo12 Dec
Kizimbani kwa kuiba kiyoyozi Palm Beach
WAKAZI wa Magomeni, Juma Suleimani (49) na Stanslaus Daniel(30) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa kiyoyozi. Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomea mashitaka hayo mbele ya Hakimu Benjamini Mwakasonda.
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Transfoma kubwa yaharibika Dar
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika