Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Transfoma kubwa yaharibika Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Felichesmi Mramba amesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya maeneo jijini hapa kunatokana na kuharibika kwa transfoma kubwa iliyopo Kituo cha Kipawa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

MRI yaharibika tena Muhimbili

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umesimamisha kwa muda huduma za uchunguzi kupitia mashine ya MRI kuanzia mwishoni mwa wiki, kwa ajili ya matengenezo zaidi ya mashine hiyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Mashine ya MRI Muhimbili yaharibika tena

mictuVeronica Romwald na Allen Msapi (GHI), Dar es Salaam

MASHINE ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali ijulikanayo kama Magnetic Reasonance Imaging (MRI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imeharibika tena baada ya kufanya kazi kwa siku mbili, tangu ilipofanyiwa matengenezo na Kampuni ya Philips.

Mashine hiyo ilifanyiwa matengenezo kutokana na shinikizo la Rais Dk. John Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kuamuru zifanyiwe marekebisho haraka.

Katika ziara yake hiyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika

 Ile dhana ya kuwa mafuta ya kupoza transfoma yanaibwa na wauza chipsi, imebainika siyo ya kweli baada ya uchunguzi kuonyesha kuwa yanatumiwa viwandani kuendesha mitambo, kuchanganywa katika vipodozi na mengine yakisafirishwa nchi za nje.

 

11 years ago

GPL

HATARI: KIYOYOZI KINACHOHATARISHA TRANSFOMA ILIYO CHINI

Picha ya nyumba iliyo na kiyoyozi chenye bomba limwagalo maji. Bomba la kiyoyozi likionekana kwa karibu zaidi, pembani kukiwa na uchafu mwingi  unaolifanya eneo hilo  kuwa la watu kujisaidia haja ndogo.…

 

10 years ago

GPL

TRANSFOMA LALIPUKA NA KUTEKETEA KWA MOTO ENEO LA MGOLOLO, IRINGA

Wananchi wakishuhudia janga la moto uliozuka mara baada ya transfoma la kituo kikuu cha umeme Mgololo, Iringa kulipuka ghafla na kuteketea. Moto ukizidi kuteketeza transfoma hilo.
TRANSFOMA la kituo kikuu…

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI DK.KALEMANI ASEMA TRANSFOMA ZA KVA 11 ZIPO ZA KUTOSHA NCHINI...ATOA NENO

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Blogu ya jamii

WAZIRI  wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amefanya ziara ya kikazi katika Kiwanda cha Tropical Industries kinachotengeneza nyaya na Transfoma kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kuona uwezo wa viwanda vya ndani katika uzalishaji wa vifaa muhimu vya umeme.

Akizungumza akiwa kiwandani hapo Dk.Kalemani amesema kuwa mahitaji ya ndani ya transfoma kwa mwaka ni 21,000  na kiwanda cha Tropical kina uwezo wa kuzalisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa kubwa yaja Dar

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo inaanza kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata utaratibu kwenye maeneo ya wazi na hifadhi za barabara katika Manispaa ya Kinondoni kuanzia kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Mvua kubwa yaua Dar

Wakazi wa Dar es Salaam wakipita ndani ya dimbwi la maji ya mvua yaliyotuama katika Barabara ya Bibi Titi jirani na kituo cha daladala ya chumba cha Dada Pendo, cha Akiba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. (Picha na Mroki Mroki).MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha kubwa la watoto kufanyika Dar May 31 na June 1

Tamasha kubwa la watoto la aina yake linaloitwa ‘Extreme Kids Festival’ litafanyika katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam, May 31 na June 1 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni. Extreme Kids Festival litapambwa na michezo mbalimbali ya watoto, games, burudani pamoja na semina fupi kwa familia.
Hili ni tamasha kubwa zaidi litakalowakutanisha watoto wengi wa jiji la Dar es Salaam na maeneo ya jirani kufurahia kwa pamoja michezo wanayoipenda zaidi na pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani