Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

Hatima muungano wa Scotland, Uingereza leo

Leo Scotland inapiga kura itakayoamua, aidha kujitenga kutoka mikono ya Uingereza au kubaki.Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameron ni miongoni mwa watu wanaopigania kuendelea kudumu kwa muungano huo.

Mwananchi

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je,Scotland itajitenga na Uingereza?

Matokeo ya kura mpya ya maoni yanaonyesha kuwa upande wowote unaweza kuibuka mshindi.

10 years ago

BBCSwahili

Scotland kubaki au kujitenga Uingereza

Upigaji kura ya maoni unakaribia kuanza Scotland kwa raia wa nchi hiyo kuamua kujitenga au kubaki kwenye himaya ya Uingereza.

10 years ago

Mwananchi

Raia wa Scotland wakataa kujitenga na Uingereza

Scotland imefanya uamuzi wa mwisho wa kuendelea kuwa sehemu ya Uingereza ,kwa maamuzi ya kura ya maoni ambapo asilimia 55 ya raia wake kwa pamoja wamekataa uhuru wa moja kwa moja wa nchi hiyo.

10 years ago

Mwananchi

CCM wafurahia matokeo ya Scotland, Uingereza

Kushindwa kujitenga kwa Scotland kutoka himaya ya ufalme wa Uingereza, kumetoa somo kwa wanasiasa kwamba hawana haki ya kuwafanyia uamuzi wananchi.

10 years ago

Michuzi

Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

10 years ago

GPL

KINANA ATOA MAONI YAKE KWA WAANDISHI JUU YA MUUNGANO WA SCOTLAND

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa maoni yake juu ya kile kilichotokea Scotland kwa waandishi wa habari alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani.

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA KINANA BAADA YA WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA KUUNGA MKONO MUUNGANO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.

Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.

Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani