Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA ATOA MAONI YAKE KWA WAANDISHI JUU YA MUUNGANO WA SCOTLAND

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa maoni yake juu ya kile kilichotokea Scotland kwa waandishi wa habari alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA KINANA BAADA YA WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA KUUNGA MKONO MUUNGANO


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.

Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.

Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jibu kwa Kinana juu ya makala yake kwa gazeti la The Hill

Tanzania cannot be allowed to be the new front for state-led Islamophobia Posted on October 2, 2015 by Nathalie Arnold Koenings The ruling CCM party has a record of dismissing opposition in Zanzibar as “Islamist”. With […]

The post Jibu kwa Kinana juu ya makala yake kwa gazeti la The Hill appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Kura ya maoni ya Scotland mafunzo kwa watanzannia-Hebron

Ndugu wasomaji wangu mtakumbuka kuwa Alhamisi ya Septemba 18, 2014 wananchi wa Scotland walipiga Kura ya Maoni ili kuamua kama waendelee kuwa sehemu ya Uingereza au wajitenge na kuwa nchi huru na matokeo yalipotangazwa Ijumaa ya Septemba 19 mwaka huo, ilionekana kuwa wengi walitaka kuendelee kuwa sehemu ya Taifa kubwa na lenye nguvu la Uingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima muungano wa Scotland, Uingereza leo

Leo Scotland inapiga kura itakayoamua, aidha kujitenga kutoka mikono ya Uingereza au kubaki.Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameron ni miongoni mwa watu wanaopigania kuendelea kudumu kwa muungano huo.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. OTHMAN CHANDE ATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama leo jijini Dar es salaam.Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari namna wanavyoweza kuandika habari za Mahakama kwa kuzingatia weledi wa taaluma zao.Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana- Wanasiasa wajifunze kilichotokea Scotland

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema kushindwa kwa kampeni za kutaka kujitenga kwa Scotland kutoka Himaya ya Ufalme wa Uingereza ni fundisho kwa wanasiasa nchini kwa kuona wana haki ya kusema au kufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama

Mahakama -1

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.

Mahakama -2

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani