Hatimaye Mr. Kadamanja kuingizwa mtaani kesho
HATIMAYE ile filamu ya ‘Mr. Kadamanja’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa na wapenzi wa sinema za Kibongo, inaingizwa rasmi mtaani kesho baada ya maandalizi yote yaliyokuwa yanaikwamisha kukamilika. Akizungumza jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Kifo chaikwamisha Mr. Kadamanja
KIFO cha mzee John Mtitu ambaye ni baba mzazi wa nyota wa filamu za Kibongo, William Mtitu, kimeikwamisha sinema ya Mr. Kadamanja ambayo ilikuwa itoke wiki hii baada ya kusitisha...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Stupid Father, Mr. Kadamanja kuchuana
FILAMU mbili zinazosambazwa na Kampuni ya 5 Effect Movies Ltd, ‘Mr. Kadamanja’ na ‘Stupid Father’ ambazo zote zilichezwa kwa ustadi na aliyekuwa mwongozaji na muigizaji, marehemu Adam Kuambiana, zinashindanishwa na...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mr. Kadamanja kuinadi Stupid Father
FILAMU ya ‘Mr. Kadamanja’ inayofanya vizuri sokoni, imeonekana kuinadi sinema mpya iliyochezwa na aliyekuwa mwongozaji na mwigizaji mahiri wa filamu za Bongo, marehemu Adam Kuambiana iitwayo ‘Stupid Father’. Wakizungumza kwa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Uchache wa nakala waikwamisha Mr. Kadamanja
UONGOZI wa Kampuni ya kizalendo ya kusambaza filamu za kibongo, 5 Effects Movies Ltd, umesema sababu kubwa iliyosababisha kukawia kuiingiza sokoni sinema ya ‘Mr. Kadamanja’ ni kutokana na kutoa nakala...
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Heroine zaongoza kuingizwa nchini
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
Viongozi wa mitaa kuingizwa darasani
NA MARIA AROPE, DODOMA
KUFUATIA viongozi wa ngazi ya chini kutopewa semina elekezi na miongozo kabla ya kuanza, kazi shirika lisilo la serikali mkoani Dodoma la NGONEDO linatarajia kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za vijiji 1,580.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mratibu wa shirika hilo, Edward Mbogo, alisema viongozi hao watatoka katika vijiji 42 ambapo wananchi 350,000 watanufaika.
Alisema awamu ya kwanza ya mradi huo itaanza kutekelezwa katika wilaya za Kongwa na...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Who is My Child kuingizwa sokoni wiki ijayo
FILAMU ya ‘Who is My Child’ inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wadau wa sinema za Kibongo, inatarajiwa kuingizwa sokoni Jumatatu ikiwa ni ya tatu kusambazwa na Kampuni ya 5 Effects...