Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PIPI YA KIJITI YA MENINA KUINGIA MTAANI KESHO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Meninah azungumzia kuanza mwaka 2015 na video ya ‘Pipi ya Kijiti’

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’, Meninah ataufungua mwaka 2015 kwa kuachia video ya wimbo wake ‘Pipi ya Kijiti’. Meninah ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kufanya video hiyo kama zawadi kwa mashabiki wake. “Unajua huu wimbo ulitoka sasa nikaona niufanyie video iwe zawadi kwa mashabiki wangu. Video nimefanya na Abas Adam. Hiyo ndio itakuwa zawadi kwa 2015. Kuna […]

 

9 years ago

Mtanzania

‘Yatima Hadeki’ kuingia mtaani Desemba

Festo KiseNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII chipukizi wa filamu nchini, Festo Kise ‘Kise’, anatarajia kuingiza sokoni filamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Yatima Hadeki’ inayohusu mateso, misukosuko na mafunzo mbalimbali kwenye maisha ya Mtanzania.

Kise alisema hiyo ndiyo filamu yake ya kwanza kuiandaa na kucheza kama mhusika mkuu huku akitarajia kwamba italeta changamoto kwa wasanii wakubwa kutokana na maudhui ya hadithi yenyewe.

“Hii ni filamu yangu ya kwanza, naamini mashabiki wa filamu wataipokea vyema...

 

11 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas,Khatib Mustapha,Nicolas Gabino,Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka,Shamim Sudi,na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya kiswahili.

 

11 years ago

Dewji Blog

Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni

swahili movie 1

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI

movie swahili 2

Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.

 

11 years ago

GPL

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI‏

Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe iitwayo NIMPENDE NANI. Filamu hii yenye mafunzo, ucheshi na vingi vioja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake. Tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.  Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi na wengine kibao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani