Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Yatima Hadeki’ kuingia mtaani Desemba

Festo KiseNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII chipukizi wa filamu nchini, Festo Kise ‘Kise’, anatarajia kuingiza sokoni filamu yake ya kwanza inayoitwa ‘Yatima Hadeki’ inayohusu mateso, misukosuko na mafunzo mbalimbali kwenye maisha ya Mtanzania.

Kise alisema hiyo ndiyo filamu yake ya kwanza kuiandaa na kucheza kama mhusika mkuu huku akitarajia kwamba italeta changamoto kwa wasanii wakubwa kutokana na maudhui ya hadithi yenyewe.

“Hii ni filamu yangu ya kwanza, naamini mashabiki wa filamu wataipokea vyema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas,Khatib Mustapha,Nicolas Gabino,Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka,Shamim Sudi,na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya kiswahili.

 

11 years ago

GPL

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI‏

Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe iitwayo NIMPENDE NANI. Filamu hii yenye mafunzo, ucheshi na vingi vioja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake. Tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.  Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi na wengine kibao...

 

11 years ago

Dewji Blog

Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni

swahili movie 1

Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI

movie swahili 2

Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.

 

10 years ago

GPL

GPL MTAANI

Dereva bodaboda akiwa amebeba mzigo na abiria akiwa ameukalia wakiwa katika mwendo kasi. Baadhi ya wakazi wa Kibamba CCM wakitaza bomba kubwa…

 

9 years ago

GPL

MTAANI KWETU KIMENUKA!

Waswahili siku hizi wana neno lao utasikia ‘kimenuka’, ukisikia hilo ujue mambo yamekaa fyongo, basi hapa mtaani kwetu habari ndiyo hiyo. Uchaguzi ndiyo huo unakuja, homa inazidi kupanda, bendera za kila rangi zinaongezeka, maspika yanaongezeka nguvu, kila upande unaelezea jinsi utakavyoboresha maisha yetu, na hicho ndicho wananchi tunachokitaka. Ishu hapa ni kupata viongozi watakaotuletea maendeleo na kuboresha hali tuliyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani