Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meninah azungumzia kuanza mwaka 2015 na video ya ‘Pipi ya Kijiti’

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’, Meninah ataufungua mwaka 2015 kwa kuachia video ya wimbo wake ‘Pipi ya Kijiti’. Meninah ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kufanya video hiyo kama zawadi kwa mashabiki wake. “Unajua huu wimbo ulitoka sasa nikaona niufanyie video iwe zawadi kwa mashabiki wangu. Video nimefanya na Abas Adam. Hiyo ndio itakuwa zawadi kwa 2015. Kuna […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Sauti Sol wafurahia kumpa kijiti Diamond kwenye MTV EMA 2015

Kwa miaka miwili mfululizo, kipengele cha Best African Act cha tuzo za MTV EMA kimeendelea kubaki Afrika Mashariki. Baada ya mwaka jana Sauti Sol kushinda, wamempa kijiti Diamond Platnumz ambaye sasa anashindana na muigizaji wa India, Priyanka Chopra kwenye kipengele kinachohusisha Afrika na India. Sauti Sol wameonesha kufurahia kumpa Diamond kijiti cha tuzo hiyo na […]

 

9 years ago

Michuzi

Video ya Matukio ya mwaka 2015 katika Umoja wa Mataifa

2015 – mwaka uliosheheni matukio ya aina yake na picha za kutisha: Maiti ya mtoto mdogo wa kiume akisombwa hadi ufukweni, kiashiria cha janga la wakimbizi Milioni 60: wananchi wa Paris, Beirut na Nairobi wakikmbia mashambulizi ya kigaidi, na nchi zilizosalia magofu kutokana na mapigano yasiyoisha. 
Matukio ya mwaka 2015, yanakumbusha changamoto ambazo Umoja wa Mataifa umekumbana nazo katika miaka 70 ya tangu kuanzishwa kwake- lakini yanatupatia muhtasari wa mafanikio yatokanayo na...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU KATIBU WA MADEREVA AZUNGUMZIA MGOMO WAO UNAOPANGWA KUANZA KESHO

Leo  Agosti 16 mwaka 2015 kulikuwa na mkutano wa madereva wa mabasi ulifanyika katika ukumbi wa Kimara resort jijini Dar es salaam na kuahamua haya yafuatayo;Kwa mujibu wa Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh aliwaeleza madereva hatima ya kamati ambayo imeundwa na Waziri Mkuu kusuruhisha kero za Madereva  hapa nchini.

Naibu katibu mkuu wa madereva (TADU), Rashidi Saleh akizungumza na madereva amesema "Tarehe 13 /8 tulipo kwenda baada ya wao kusikia kuna tishio la mgomo,tulizani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani