Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW AUDIO: MENINAH LA DIVA - PIPI YA KIJITI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Meninah azungumzia kuanza mwaka 2015 na video ya ‘Pipi ya Kijiti’

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’, Meninah ataufungua mwaka 2015 kwa kuachia video ya wimbo wake ‘Pipi ya Kijiti’. Meninah ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kufanya video hiyo kama zawadi kwa mashabiki wake. “Unajua huu wimbo ulitoka sasa nikaona niufanyie video iwe zawadi kwa mashabiki wangu. Video nimefanya na Abas Adam. Hiyo ndio itakuwa zawadi kwa 2015. Kuna […]

 

10 years ago

GPL

WIMBO MPYA: KANIGANDA - MENINAH LA DIVA

Staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem 'Ladiva' .

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Sikiliza interview ya Maurice Kirya na Diva

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amefanya interview na staa wa Uganda, Maurice Kirya. Wasikilize hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Sikiliza interview ya Diva na msanii wa Nigeria, Seyi Shay

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the Bawse amefanya mahojiano na muimbaji wa Nigeria, Seyi Shay. Sikiliza interview hiyo ya kuvutia hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Tekno kwa Diva: Wewe ni msichana mrembo kwanini huna mpenzi?” Sikiliza mahojiano yao ya kuvutia hapa (Audio)

Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na Diva The Bawse kimeendelea kuvuka boda. Siku za hivi karibuni mtangazaji huyo maarufu amekuwa akihoji wasanii wengi wa nje ya Tanzania wakiwemo Iyanya, Patoranking, Maurice Kirya na sasa amezungumza na hitmaker wa Duro, Tekno Miles wa Nigeria. Kwenye mahojiano hayo Diva amemuuliza staa huyo kuhusu […]

 

11 years ago

Mwananchi

Unajikinga mvua kwa kijiti?

Maneno huumba, lakini mawazo huumba vizuri zaidi ya maneno. Uliwazalo ndilo ulipatalo na uliwazalo, ndilo ulitendalo. Kwa kawaida moto huanza kwenye njiti ya kiberiti au cheche mioja na kuunguza msitu mzima. Tena msitu uwezao kuzalisha matrilioni ya njiti hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo matano yaliyompa kijiti Magufuli

Watanzania wengi na hata wagombea wa CCM walipigwa na butwaa kubwa baada ya kuona Dk John Magufuli anachaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani