Heroine zaongoza kuingizwa nchini
Dawa za kulevya aina ya heroine ndizo zilizoingia nchini kwa wingi mwaka 2013, imeelezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
Viongozi wa mitaa kuingizwa darasani
NA MARIA AROPE, DODOMA
KUFUATIA viongozi wa ngazi ya chini kutopewa semina elekezi na miongozo kabla ya kuanza, kazi shirika lisilo la serikali mkoani Dodoma la NGONEDO linatarajia kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za vijiji 1,580.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mratibu wa shirika hilo, Edward Mbogo, alisema viongozi hao watatoka katika vijiji 42 ambapo wananchi 350,000 watanufaika.
Alisema awamu ya kwanza ya mradi huo itaanza kutekelezwa katika wilaya za Kongwa na...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Hatimaye Mr. Kadamanja kuingizwa mtaani kesho
HATIMAYE ile filamu ya ‘Mr. Kadamanja’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa na wapenzi wa sinema za Kibongo, inaingizwa rasmi mtaani kesho baada ya maandalizi yote yaliyokuwa yanaikwamisha kukamilika. Akizungumza jijini...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Who is My Child kuingizwa sokoni wiki ijayo
FILAMU ya ‘Who is My Child’ inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wadau wa sinema za Kibongo, inatarajiwa kuingizwa sokoni Jumatatu ikiwa ni ya tatu kusambazwa na Kampuni ya 5 Effects...
11 years ago
Habarileo18 Oct
Ajiondoa Chadema kwa siasa za kidikteta, kuingizwa udini
ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mtera, Lameck Lubote ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema amechoka na siasa zilizojaa udikteta wa viongozi wake.
11 years ago
Habarileo08 Apr
Wasihi kuingizwa vipengele vyenye maslahi kwa wanawake,watoto
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kuwatendea haki vijana, wanawake na watoto kwa kuingiza vipengele ambavyo vina maslahi katika kuboresha maisha yao.
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Shule zaongoza kwa shehena za tindikali
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Ruvuma, Dodoma zaongoza kutoa mawaziri
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Burundi,UG na Kenya zaongoza kwa ufisadi
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Jezi za Ronaldo zaongoza kwa mauzo