Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule zaongoza kwa shehena za tindikali

>Baada ya matukio ya watu kadhaa kumwagiwa tindikali nchini na kuacha sintofahamu katika jamii, imebainika kuwa shule ndizo zinazoongoza kwa kuwa na shehena nyingi ya tindikali ambayo imepatikana bila kupitia utaratibu unaotakiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA

Mkurugenzi  wa makampuni ya  Asas  Bw  Salim Abri  Asas  kushoto akipokea cheti  maalum kutoka kwa kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Letici Warioba  baada ya  kuibuka  mshindi wa kwanza katika  ulipaji kodi mkoa wa Iringa leo.Meneja  wa TRA mkoa wa Iringa Rosalia Mwenda akimpongeza  Bw  Asas  kwa ushindi katika ulipaji kodi Cheti  kilichotolewa kwa  kampuni ya Asas Salim Asas  akionyesha  cheti kwa wanahabari  baada ya  kukabidhiwa  cheti  hicho kwa kuwa mlipaji  kodi mzuri.
KWA HABARI ZAIDI...

 

11 years ago

Mwananchi

Jezi za Ronaldo zaongoza kwa mauzo

Jumla ya jezi milioni 1 za mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ziliuzwa msimu wa mwaka 2013/14 na kuzidi jezi za timu nzima ya Bayern Munich ambayo iliuza jezi 880,000.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi,UG na Kenya zaongoza kwa ufisadi

Ufisadi nchini Kenya bado uko katika kiwango cha juu licha ya juhudi kukabiliana na swala hilo nyeti.

 

10 years ago

Michuzi

WILAYA ZA ARUSHA ZAONGOZA KWA WAGONJWA WA TRAKOMA

  Mratibu wa Mpango wa kitaifa wa Kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele dkt. Upendo Mwingira, akionesha fulana yenye ujumbe wa kutokomeza magonjwa hayo toka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani la Ending Negleted Diseases,walokuja nchini tanzania kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa za kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Mkoani Arusha Mratibu wa Trakoma toka hospitali ya KCMC Patrick Masae akifanya uchunguzi wa macho kwa wananchi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid,Man U zaongoza kwa utajiri

Mabigwa wa Ulaya Klabu Real Madrid ya Hispania imeendelea k kuwa timu tajiri Zaidi duniani

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni za simu, madini zaongoza kwa unyonyaji

 Kampuni nyingi za simu na za madini nchini zinadaiwa kuwanyonya wafanyakazi wao na kusababisha serikali kuamua kuingilia kati kwa kusimamia moja kwa moja usajili mpya wa mawakala wa ajira.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa shehena ya Futari ikiwemo Sukari, Mchele, Unga, Maharage na Mafuta kwa zaidi ya Watu 350 kutoka Makundi mbalimbali ikiwemo Yatima, Walemavu wa Viungo, Wasioona, Watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino na Watu wasiojiweza kama sehemu ya sadaka ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.

Msaada huo wa...

 

9 years ago

StarTV

Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule

Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.

Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani