Jezi za Ronaldo zaongoza kwa mauzo
Jumla ya jezi milioni 1 za mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ziliuzwa msimu wa mwaka 2013/14 na kuzidi jezi za timu nzima ya Bayern Munich ambayo iliuza jezi 880,000.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA
KWA HABARI ZAIDI...
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Shule zaongoza kwa shehena za tindikali
>Baada ya matukio ya watu kadhaa kumwagiwa tindikali nchini na kuacha sintofahamu katika jamii, imebainika kuwa shule ndizo zinazoongoza kwa kuwa na shehena nyingi ya tindikali ambayo imepatikana bila kupitia utaratibu unaotakiwa.
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Burundi,UG na Kenya zaongoza kwa ufisadi
Ufisadi nchini Kenya bado uko katika kiwango cha juu licha ya juhudi kukabiliana na swala hilo nyeti.
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Real Madrid,Man U zaongoza kwa utajiri
Mabigwa wa Ulaya Klabu Real Madrid ya Hispania imeendelea k kuwa timu tajiri Zaidi duniani
10 years ago
MichuziWILAYA ZA ARUSHA ZAONGOZA KWA WAGONJWA WA TRAKOMA
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Kampuni za simu, madini zaongoza kwa unyonyaji
 Kampuni nyingi za simu na za madini nchini zinadaiwa kuwanyonya wafanyakazi wao na kusababisha serikali kuamua kuingilia kati kwa kusimamia moja kwa moja usajili mpya wa mawakala wa ajira.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zSlEfiRqINs/VcIaf4sCu8I/AAAAAAAHuY8/P-uYt6sb9Pg/s72-c/image.jpg)
SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-zSlEfiRqINs/VcIaf4sCu8I/AAAAAAAHuY8/P-uYt6sb9Pg/s640/image.jpg)
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za Sekondari za jiji la Dare es salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu za ufaulu kwa wanafunzi...
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Butiama wapanga kuingiza Sh14mil kwa mauzo ya pamba
Halmashauri ya Wilaya ya Butiama mkoani Mara, inatarajia kuingiza zaidi ya Sh14.4 milioni kwa ushuru unaotokana na ununuzi wa pamba kwa msimu wa ununuzi wa zao hilo kwa mwaka 2015/2016.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania