Butiama wapanga kuingiza Sh14mil kwa mauzo ya pamba
Halmashauri ya Wilaya ya Butiama mkoani Mara, inatarajia kuingiza zaidi ya Sh14.4 milioni kwa ushuru unaotokana na ununuzi wa pamba kwa msimu wa ununuzi wa zao hilo kwa mwaka 2015/2016.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gfzuAqMyrXM/VUxLep4xMrI/AAAAAAABNqk/6h38CBibuYE/s72-c/0.1UAP5.jpg)
KIWANDA CHA PAMBA AMBACHO PAMBA YAKE ILITEKETEA KWA MOTO MKOANI SHINYANGA CHAPATA BIMA YAKE TOKA UAP
![](http://1.bp.blogspot.com/-gfzuAqMyrXM/VUxLep4xMrI/AAAAAAABNqk/6h38CBibuYE/s640/0.1UAP5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--6W2I83BmfI/VUxLgrxAv4I/AAAAAAABNqs/d1k3pQncsqY/s640/0.1UAP3.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
CHADEMA wapanga kumshtaki Dk Magufuli kwa matumizi ya ‘M4C’
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Kwa ufupi: “Wadai amechukua nembo ya M4C na kuifanya yake” By Herieth Makwetta na Julius Mathias Saturday, September 19, 2015 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kinakusudia kumfungulia mashtaka, Dk […]
The post CHADEMA wapanga kumshtaki Dk Magufuli kwa matumizi ya ‘M4C’ appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Habarileo15 Aug
Mcolombia kortini kwa kuingiza kokeni
RAIA wa Colombia, Andres Uribe (38), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya kokeni zenye thamani ya Sh milioni 45.2.
10 years ago
Habarileo24 Jan
Bandari kuingiza mapato Sh trilioni 1 kwa mwaka
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande amesema bandari hiyo ina uwezo wa kuingiza kipato kinachofikia Sh trilioni moja kwa mwaka, kama baadhi ya vikwazo vitashughulikiwa.
11 years ago
Habarileo26 Jul
Kortini kwa kuingiza vifaa nchini bila leseni
RAIA wa Lebanon, Mohammed Alli Attwi (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka sita likiwamo la kuingiza vifaa vya mawasiliano ya kimataifa bila ya kuwa na leseni na kulisababishia taifa hasara ya zaidi ya Sh bilioni 2.1.
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Magadi soda kuingiza bil. 480/- kwa mwaka
SHIRIKA la Taifa la Maendeleo (NDC) limegudua kiasi kikubwa cha madini ya magadi soda katika Bonde la Engaruka, Wilaya ya Monduli, Arusha. Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa NDC, Abel Ngapemba,...
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Jezi za Ronaldo zaongoza kwa mauzo
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Mwanamke wa Indonesia anusurika kifungo jela kwa kuingiza mbwa msikitini