Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajiondoa Chadema kwa siasa za kidikteta, kuingizwa udini

ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mtera, Lameck Lubote ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema amechoka na siasa zilizojaa udikteta wa viongozi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

CCM YALAANI UDINI WA LOWASSA NA CHADEMA.

Nape Nnauye. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika hali ya kushangaza na kusikitisha tarehe 6/09/2015 siku ya Jumapili mjini Tabora mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Ndg. Edward Lowassa aliamua kutumia udini kuomba kura. Ndg. Lowassa akihudhuria ibada katika kanisa la Kilutheri (KKKT) mjini Tabora amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii akidai kuwa, kwa kuwa toka nchi...

 

11 years ago

Habarileo

Wasihi kuingizwa vipengele vyenye maslahi kwa wanawake,watoto

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kuwatendea haki vijana, wanawake na watoto kwa kuingiza vipengele ambavyo vina maslahi katika kuboresha maisha yao.

 

10 years ago

GPL

AMINI AJIONDOA THT, AAGWA KWA NDEREMO

Amini Mwinyimkuu akiongea mbele ya wageni waalikwa na waandishi wa habari kwenye sherehe hiyo ya kuagwa. Mkurugenzi wa THT, Ruge Mutahaba (kushoto), akipokea tuzo ya shukurani kutoka kwa Amini.…

 

9 years ago

Mwananchi

NEC yatoa onyo kwa Lowassa kuhusu udini

Siku moja baada ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kukaririwa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akidaiwa kuwataka waumini wa Kilutheri kumchagua, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeonya kitendo hicho huku ikitishia kumzuia kuendelea na kampeni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanasiasa watahadharishwa juu ya kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila

SAM_0194Mgombea mteule wa ubunge jimbo la Manyoni magharibi(CCM), Bwana Ally Masare akielezea umuhimu wa kusoma katiba iliyopo kwa sasa kwa vijana wa kambi ya UVCCM wilaya ya Manyoni kwenye shule ya sekondari Mkwese.

Mgombea mteule wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Ally Masare amewatahadharisha baadhi ya wanasiasa walioomba kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao,kujiepusha na kauli za kuwagawa makundi watanzania kwenye maeneo yao kwa kuhubiri ukabila na...

 

9 years ago

Mtanzania

Sitaendesha nchi kidikteta-Magufuli

Magufuli ChatoNA BAKARI KIMWANGA, CHATO

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama atachaguliwa kuwa rais wa
awamu ya tano, hataendesha nchi kidikteta kama baadhi ya watu wanavyodai.

Amesema atazingatia sheria za nchi lakini hatakuwa na simile kwa watu watakaoleta mchezo kusimamia rasilimali za
nchi.

Dk.Magufuli alitoa kauli hiyomjini Chato jana alipohutubia maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo. Alisema ili nchi iweze kusonga mbele inahitaji mtu ambaye hajui kesho ila...

 

10 years ago

Raia Mwema

Sasa Tanzania kuongozwa kidikteta au kijeshi?

MWEZI Agosti mwaka 1990, akiwa anastaafu uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius N

Andrew Bomani

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mwenyekiti wa zamani CHADEMA hataki siasa


Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa zamani wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Joseph Yona ambaye alijiuzulu wadhifa huo  baada ya kutekwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana mwaka jana kisha kutupwa katika ufukwe wa Ununio, ameibuka na kudai hatajihusisha na siasa tena maishani mwake.
Akizungumza na mwandishi  wa habari hizi,  jijini Dar es Salaam, Yona alisema kuwa tangu alipokumbwa na tukio hilo aliamua kubwaga manyanga ya kujihusisha na masuala ya saisa ambayo aliita ni mchezo...

 

11 years ago

Mwananchi

SIASA: Chadema: Hatuchukui tena makapi ya CCM

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitasubiri wanachama watakaoachwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani