Sitaendesha nchi kidikteta-Magufuli
NA BAKARI KIMWANGA, CHATO
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama atachaguliwa kuwa rais wa
awamu ya tano, hataendesha nchi kidikteta kama baadhi ya watu wanavyodai.
Amesema atazingatia sheria za nchi lakini hatakuwa na simile kwa watu watakaoleta mchezo kusimamia rasilimali za
nchi.
Dk.Magufuli alitoa kauli hiyomjini Chato jana alipohutubia maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo. Alisema ili nchi iweze kusonga mbele inahitaji mtu ambaye hajui kesho ila...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Sasa Tanzania kuongozwa kidikteta au kijeshi?
MWEZI Agosti mwaka 1990, akiwa anastaafu uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius N
Andrew Bomani
10 years ago
Habarileo18 Oct
Ajiondoa Chadema kwa siasa za kidikteta, kuingizwa udini
ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mtera, Lameck Lubote ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema amechoka na siasa zilizojaa udikteta wa viongozi wake.
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Magufuli: Nchi inahitaji mabadiliko
Na Bakari Kimwanga, Mbeya
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema taifa linahitaji mabadiliko ya kiuongozi chini yake na siyo kwa kubadili chama kilichopo madarakani.
Amesema pamoja na kuwa kuna wimbi la watu wanaotaka mabadiliko, ni vema wakatambua kwamba yatapatikana kupitia CCM na si nje ya chama hicho.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbalizi, Mbeya Vijijini na Wilaya ya Chunya mkoani hapa kwa nyakati...
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Dk. Magufuli: Nchi inahitaji rais mkali
*Atangaza kiama kwa aliyefungua kesi kupinga mradi wa maji
*Arusha kombora kwa Kingunge
*Apokewa na CCM, Chadema Ubungo
Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.
Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao.
Kauli hiyo...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Nape: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Magufuli: Nitaboresha uhusiano wa kibiashara na nchi jirani
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YZAU4AT-598/XvHhPC8YrdI/AAAAAAALvDo/tDztKVOxGgsVwzIppapWtnLHB0gohuK9gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200623-WA0032.jpg)
MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WA NCHI- MASAUDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-YZAU4AT-598/XvHhPC8YrdI/AAAAAAALvDo/tDztKVOxGgsVwzIppapWtnLHB0gohuK9gCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200623-WA0032.jpg)
Masauda akizungumza jana mjini Babati alisema Rais Magufuli ameirudisha Tanzania katika misingi bora hasa CCM kwani hata usipokuwa na fedha unaweza kugombea uongozi.
Alisema kutokana na Rais Magufuli kuirudisha...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Magufuli: Nitahakikisha nchi haifanywi shamba la bibi
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CCxS8N4jzGk/VUIz3iiZ3MI/AAAAAAAHUSs/qOl7y8am3Uc/s72-c/1.jpg)
ACHENI RUSHWA TUISAIDIE NCHI IPATE MAENDELEO -DK.MAGUFULI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-CCxS8N4jzGk/VUIz3iiZ3MI/AAAAAAAHUSs/qOl7y8am3Uc/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-54aJCzYlZk8/VUIz4YFbjqI/AAAAAAAHUS0/oEVepme58ek/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5MM7_exI5jw/VUIz2W9c_oI/AAAAAAAHUSk/k3ShXLNJfWY/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jH9pSGcC20E/VUIz6JjSPlI/AAAAAAAHUS8/ryGAEFKvC_E/s1600/4.jpg)