Sasa Tanzania kuongozwa kidikteta au kijeshi?
MWEZI Agosti mwaka 1990, akiwa anastaafu uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius N
Andrew Bomani
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--w07h4MO6R4/VEZ6MHZYKhI/AAAAAAAAYP8/SazUv1ImucI/s72-c/DSC_0648.jpg)
TANZANIA NA CHINA WAFANYA MAZOEZI YA KIJESHI PAMOJA
![](http://4.bp.blogspot.com/--w07h4MO6R4/VEZ6MHZYKhI/AAAAAAAAYP8/SazUv1ImucI/s1600/DSC_0648.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DiXxkClC9DY/VEZ6NizZKcI/AAAAAAAAYQE/x1_zevobP-A/s1600/DSC_0706.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TW_byvEd_dw/VEZ6OAMHhGI/AAAAAAAAYQI/yFknH0S0cKk/s1600/DSC_0725.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-0cTe4plFVMA/VEZ6QVa56hI/AAAAAAAAYQU/XSVwYwPBLw8/s1600/James%2BMwakibolwa5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-77p_dVxuJXM/VEZ6QukbBGI/AAAAAAAAYQY/Nb4Wjk6GVeo/s1600/James%2BMwakibplwa.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-aKKljYOmt-4/VEZ6RELSDmI/AAAAAAAAYQg/j9K0wT5IY2o/s1600/DSC_0576.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Uchaguzi mkuu — wazanzibari kuchagua kutawaliwa au kuongozwa
Na mwandishi wetu, Kipindi kingine kimefika cha miaka mitano kwa Wazanzibari kuamua kwa kupiga kura kuendelea kutawaliwa au kuongozwa. Chambilecho Msomi wa Ujarumani “ Demokrasia katika kuchagua Utumwa baada ya uchaguzi” Hivi ndivo Ilivyo. Kwani kuhamasishwa […]
The post Uchaguzi mkuu – wazanzibari kuchagua kutawaliwa au kuongozwa appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Sitaendesha nchi kidikteta-Magufuli
NA BAKARI KIMWANGA, CHATO
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama atachaguliwa kuwa rais wa
awamu ya tano, hataendesha nchi kidikteta kama baadhi ya watu wanavyodai.
Amesema atazingatia sheria za nchi lakini hatakuwa na simile kwa watu watakaoleta mchezo kusimamia rasilimali za
nchi.
Dk.Magufuli alitoa kauli hiyomjini Chato jana alipohutubia maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo. Alisema ili nchi iweze kusonga mbele inahitaji mtu ambaye hajui kesho ila...
10 years ago
Habarileo18 Oct
Ajiondoa Chadema kwa siasa za kidikteta, kuingizwa udini
ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mtera, Lameck Lubote ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema amechoka na siasa zilizojaa udikteta wa viongozi wake.
10 years ago
Vijimambo15 Jun
Yanga yajifua kijeshi
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2752546/highRes/1036731/-/maxw/600/-/14uhjj3z/-/01-Yanga.jpg)
Wachezaji wa Yanga mazoezini
Ilikuwa pale pembezoni mwa Hospitali ya Aga Khan ambapo kikosi hicho kikiwa chini ya makocha wao, Hans Pluijm na Charles Boniface Mkwasa kilifanya mazoezi hayo makali yaliyolenga kuimarisha nguvu kwa wachezaji hao.YANGA kweli imepania msimu ujao. Kwani baada ya kupiga tizi kwenye Uwanja wa Karume, Ilala kikosi cha timu hiyo kimehamia ufukweni kufanya mazoezi fulani ya nguvu kama wanajeshi.
Ilikuwa pale pembezoni mwa Hospitali ya Aga Khan ambapo kikosi hicho kikiwa...
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Ukraine yajizatiti kijeshi
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Mtandao wa kijeshi Marekani wadukuliwa
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Tusigeuze nchi gwaride la kijeshi
KATIKA siku za nyuma Watanzania wengi, Bara na Visiwani, walionekana kupumua pale Serikali ambayo ilikuwa ikipenda kutumia amri, badala ya sheria ilipoonekana kuwa na uvumiivu kwa watu kujieleza na kutoa maoni...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Urusi yaanzisha mazoezi ya Kijeshi