Dk. Magufuli: Nchi inahitaji rais mkali
*Atangaza kiama kwa aliyefungua kesi kupinga mradi wa maji
*Arusha kombora kwa Kingunge
*Apokewa na CCM, Chadema Ubungo
Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.
Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao.
Kauli hiyo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Magufuli: Nchi inahitaji mabadiliko
Na Bakari Kimwanga, Mbeya
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema taifa linahitaji mabadiliko ya kiuongozi chini yake na siyo kwa kubadili chama kilichopo madarakani.
Amesema pamoja na kuwa kuna wimbi la watu wanaotaka mabadiliko, ni vema wakatambua kwamba yatapatikana kupitia CCM na si nje ya chama hicho.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbalizi, Mbeya Vijijini na Wilaya ya Chunya mkoani hapa kwa nyakati...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Tibaigana: Nchi inahitaji rais dikteta
10 years ago
MichuziTANZANIA INAHITAJI MASTER PLAN YA NCHI NZIMA - WAZIRI MKUU
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Novemba 10, 2014) wakati akifungua warsha ya siku tatu ya kuwajengea uwezo Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa za Miji kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara.
“Sasa hivi hapa nchini tuna tatizo la ukuaji mkubwa wa miji yetu na Dar es Salaam ni mmojawapo. Hakuna...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG
9 years ago
Habarileo01 Sep
Nchimbi: Tanzania inahitaji Rais siyo mfano wa rais
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Mbunge wa zamani wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi (pichani) amesema Tanzania inahitaji rais na sio mfano wa rais, huku akimmwagia sifa Mgombea Urais wao, Dk John Magufuli kuwa ni mwenye uwezo wa kufanya kazi, anayetimiza ahadi na anayependa watu.
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.
5 years ago
MichuziMAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WA NCHI- MASAUDA
Masauda akizungumza jana mjini Babati alisema Rais Magufuli ameirudisha Tanzania katika misingi bora hasa CCM kwani hata usipokuwa na fedha unaweza kugombea uongozi.
Alisema kutokana na Rais Magufuli kuirudisha...
5 years ago
MichuziWANAOMPINGA RAIS MAGUFULI WANA URAIA WA NCHI MBILI-MASAUDA
Aliyekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wa Mkoa wa Manyara mwaka 2007 hadi 2015 Cosmas Bura Masauda amesema vigogo wanaompinga Rais John Magufuli Magufuli, huenda wana uraia wa nchi mbili.
Masauda akizungumza jana mjini Babati alisema yeye alikuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa mwaka 2007 hadi 2015 hivyo anashangazwa na vigogo kama Bernard Membe wanampinga Rais Magufuli.
Alisema wanaompinga wanapaswa kutambua kuwa...
10 years ago
Habarileo10 Jun
‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’
MGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.