Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchimbi: Tanzania inahitaji Rais siyo mfano wa rais

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Mbunge wa zamani wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi (pichani) amesema Tanzania inahitaji rais na sio mfano wa rais, huku akimmwagia sifa Mgombea Urais wao, Dk John Magufuli kuwa ni mwenye uwezo wa kufanya kazi, anayetimiza ahadi na anayependa watu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’

Balozi Amina Salum AllyMGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli: Nchi inahitaji rais mkali

g11*Atangaza kiama kwa aliyefungua kesi   kupinga mradi wa maji

*Arusha kombora kwa Kingunge

*Apokewa na CCM, Chadema Ubungo

 

Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.

Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao.

 

Kauli hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Tibaigana: Nchi inahitaji rais dikteta

Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana amekwenda mbali zaidi; anataka rais dikteta.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE AGUSWA NA UTENDAJI KAZI WA KINANA, ATAKA AWE MFANO WA KUIGWA

 Rais Kikwete akihutubia maelfu ya watu waliofika kwenye sherehe hizo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri waliotuhumiwa na wananchi kuwa mizigo wakati wa ziara za Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti katika mikoa kadhaa nchini mwishoni mwa mwaka jana.
"Najua wapo baadhi ya watanzania, walitaka Mawaziri waliotajwa kuwa ni mizigo wafukuzwe kazi, na kwa vile halikufanyika basi suala hilo...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Obama siyo rais mweusi kamili Marekani’

Mmoja ya watu wanajulikana kwa utajiri mkubwa wa vyombo vya habari duniani amesema kuwa Marekani haijapata rais anayewakilisha uhalisia wa kweli juu ya jamii ya watu weusi.

 

9 years ago

Mtanzania

Profesa Mkumbo: Rais siyo ofisa miradi

mkumboMSHAURI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo,  Profesa Kitila Mkumbo amesema   wananchi hawachagui rais ili awe ofisa miradi, meneja  au kufanya kazi za uhandisi kwa sababu wataalamu wa fani hizo wapo isipokuwa anayechaguliwa ni kiongozi mkuu wa nchi.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara  katika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es Salaam jana, Profesa Kitila alisema kazi za rais ni nne ambazo ni fikra kwa kuwa ndiye anayestahili kutoa dira ya nchi hivyo anatakiwa kuwa mwenye uwezo wa kufikiri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi awa Rais wa kwanza wa Msumbiji kulihutubia Bunge la Tanzania

 

 Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongozana na wenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda.

8
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.

Na Immaculate Makilika na Lydia Churi  – MAELEZO, DODOMA.

Rais  wa Jamhuri ya  Msumbiji  Mheshimiwa  Felipe Nyusi  amelihutubia Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrisho Mpoto: Kukutana na Rais Ikulu siyo mwisho wa shida

Utunzi wa mashairi, mikogo na staili yake ya mavazi stejini inaweza kuwa chanzo cha kumfanya afananishwe na simba dume aliye barani Afrika aking’ara nchini hata katika anga za kimataifa.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AMWAKILISHA RAIS JAKAYA KUZINDUA HALOTEL TANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, Waziri wa Mawasiliano wa Vietnam,Nguyen Bac Son, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwaongoza viongozi wenzake kupiga ngoma kama ishara ya uzinduzi rasmi wa Mtandao mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani