Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’

Balozi Amina Salum AllyMGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nchimbi: Tanzania inahitaji Rais siyo mfano wa rais

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Mbunge wa zamani wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi (pichani) amesema Tanzania inahitaji rais na sio mfano wa rais, huku akimmwagia sifa Mgombea Urais wao, Dk John Magufuli kuwa ni mwenye uwezo wa kufanya kazi, anayetimiza ahadi na anayependa watu.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli: Nchi inahitaji rais mkali

g11*Atangaza kiama kwa aliyefungua kesi   kupinga mradi wa maji

*Arusha kombora kwa Kingunge

*Apokewa na CCM, Chadema Ubungo

 

Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.

Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao.

 

Kauli hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Tibaigana: Nchi inahitaji rais dikteta

Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana amekwenda mbali zaidi; anataka rais dikteta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania inahitaji mabadiliko ya kiuchumi’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika sekta ya uchumi yatakayosaidia kuharakisha maendeleo ya viwanda hali ambayo itasaidia kutatua tatizo la ajira kwa wananchi wake...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania inahitaji wafanyakazi wenye viwango’

BALOZI wa Japan hapa nchini, Masaki Okada amesema Tanzania inahitaji wafanyakazi wenye ubora na viwango stahiki kutokana na ushindani uliopo katika soko la ajira kwa ajili ya kuleta maendeleo. Kauli...

 

10 years ago

Mwananchi

Siyantemi : Tanzania inahitaji sera makini

Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Amos Siyantemi jana alichukua fomu kama sehemu ya maandalizi yake ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inahitaji watumishi wafanyakazi wa aina gani?

Mwanzo wa maendeleo ya kweli kwa nchi yoyote duniani kama historia inavyodhirisha, ni pale watumishi na wafanyakazi wanapobadilika na kujitambua kutokana na kuwepo sera na mifumo ya usimamizi nautendaji kazi inayotambua nafasi, stahili au haki, wajibu na majukumu ya kila mtu katika kuchangia maendeleo ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MGOGORO WA UONGOZI… Tanzania inahitaji fikra mbadala

UONGOZI kwa maana rahisi ni kuonyesha njia kufikia utashi wa maendeleo endelevu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa katika kuhakikisha kwamba siasa inautumikia uchumi na kuleta manufaa kwa watu na nchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania inahitaji walimu laki nne ifikapo mwaka 2030

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO) hivi karibuni limetoa ripoti inayoonyesha Tanzania itahitaji angalau walimu 406,600, ifikapo mwaka 2030.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani