Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Tanzania inahitaji wafanyakazi wenye viwango’

BALOZI wa Japan hapa nchini, Masaki Okada amesema Tanzania inahitaji wafanyakazi wenye ubora na viwango stahiki kutokana na ushindani uliopo katika soko la ajira kwa ajili ya kuleta maendeleo. Kauli...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inahitaji watumishi wafanyakazi wa aina gani?

Mwanzo wa maendeleo ya kweli kwa nchi yoyote duniani kama historia inavyodhirisha, ni pale watumishi na wafanyakazi wanapobadilika na kujitambua kutokana na kuwepo sera na mifumo ya usimamizi nautendaji kazi inayotambua nafasi, stahili au haki, wajibu na majukumu ya kila mtu katika kuchangia maendeleo ya nchi.

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA

Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne kutoka Bara na wane Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akimkabidhi ripoti ya Kamati ya pamoja ya mashirikiano Mhe. Naibu Waziri...

 

9 years ago

Mwananchi

Sekta binafsi inahitaji sera, mfumo thabiti wenye udhibiti uliokamilifu

Sekta binafsi nchini inataka kuwapo na mazingira thabiti yanayoeleweka ya kisera na udhibiti yatakaowezesha wawekezaji, watekelezaji na wateja kuwa katika hali ya kufanya maamuzi ya muda mrefu wakiwa na uhakika.

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania watoa msaada kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili,Tandika jijini Dar

Wafanyakazi wa Citi Bank tawi la Tanzania wameweza kujichangisha wenyewe kwa wenyewe na kupata fedha zilizofanikisha ukarabati wa jengo litakalotumika kama jiko la kupitia na ukumbi wa kulia chakula kwenye Kitengo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili cha Shule ya Msingi Tandika,Wilayani Temeke jijini Dar es Salaam,Wafanyakazi hao wameamua kufanya hivyo leo ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kusadia watu wenye Mahitaji,wanaofaunya mara moja kwa mwaka Duniani kote,mbali na ukarabati huo...

 

10 years ago

Michuzi

VETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAANDAA WANAFUNZI WA HOTELI NA UTALII WENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA.

Baraza la ushauri la chuo cha  mafunzo ya hoteli na utalii (VHTTI) limetakiwa kuhakikisha linaandaa wanafunzi vyema na wenye viwango vya kimataifa   ili kukabiliana  na ushindani mkubwa ulioko katika sekta ya hoteli na utalii duniani.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa wakati akizindua baraza hilo  jana ndani ya chuo cha hoteli na utalii cha VHTTI kilichopo  nje kidogo ya jiji la Arusha .
Alisema kuwa kutokana na changamoto kubwa ya  hoteli zetu kuajiri watu kutoka nje...

 

10 years ago

Michuzi

VETA WAMETAKIWA KUHAKIKISHA WANAANDAA WANAFUNZI WA HOTELI NA UTALII WENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA ILI KUKABILIANA NA USHINDANI WA SOKO ULIOPO

Na Woinde Shizza, Arusha Baraza la ushauri la chuo cha mafunzo ya hoteli na utalii (VHTTI) limetakiwa kuhakikisha linaandaa wanafunzi vyema na wenye viwango vya kimataifa ili kukabiliana na ushindani mkubwa ulioko katika sekta ya hoteli na utalii duniani.  Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa wakati akizindua baraza hilo jana ndani ya chuo cha hoteli na utalii cha VHTTI kilichopo nje kidogo ya jiji la Arusha .  Alisema kuwa kutokana na changamoto kubwa ya hoteli...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’

Balozi Amina Salum AllyMGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Tanzania inahitaji mabadiliko ya kiuchumi’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika sekta ya uchumi yatakayosaidia kuharakisha maendeleo ya viwanda hali ambayo itasaidia kutatua tatizo la ajira kwa wananchi wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Siyantemi : Tanzania inahitaji sera makini

Mchambuzi wa masuala ya siasa na diplomasia, Amos Siyantemi jana alichukua fomu kama sehemu ya maandalizi yake ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani