Tibaigana: Nchi inahitaji rais dikteta
Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana amekwenda mbali zaidi; anataka rais dikteta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Dk. Magufuli: Nchi inahitaji rais mkali
*Atangaza kiama kwa aliyefungua kesi kupinga mradi wa maji
*Arusha kombora kwa Kingunge
*Apokewa na CCM, Chadema Ubungo
Na Bakari Kimwanga, Dar es Salaam
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji.
Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao.
Kauli hiyo...
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Wanaotaka rais dikteta washindwe na walegee
10 years ago
Mwananchi22 Nov
Wasomi: Tunahitaji rais ajae awe dikteta
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Magufuli: Nchi inahitaji mabadiliko
Na Bakari Kimwanga, Mbeya
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema taifa linahitaji mabadiliko ya kiuongozi chini yake na siyo kwa kubadili chama kilichopo madarakani.
Amesema pamoja na kuwa kuna wimbi la watu wanaotaka mabadiliko, ni vema wakatambua kwamba yatapatikana kupitia CCM na si nje ya chama hicho.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbalizi, Mbeya Vijijini na Wilaya ya Chunya mkoani hapa kwa nyakati...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LAU-B6tA-7I/VGC9J4kvvAI/AAAAAAAGwaI/lUtWESi1ZXg/s72-c/pinda%2Bmizengo.jpg)
TANZANIA INAHITAJI MASTER PLAN YA NCHI NZIMA - WAZIRI MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-LAU-B6tA-7I/VGC9J4kvvAI/AAAAAAAGwaI/lUtWESi1ZXg/s1600/pinda%2Bmizengo.jpg)
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Novemba 10, 2014) wakati akifungua warsha ya siku tatu ya kuwajengea uwezo Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Manispaa za Miji kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara.
“Sasa hivi hapa nchini tuna tatizo la ukuaji mkubwa wa miji yetu na Dar es Salaam ni mmojawapo. Hakuna...
9 years ago
Habarileo01 Sep
Nchimbi: Tanzania inahitaji Rais siyo mfano wa rais
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Mbunge wa zamani wa Songea Mjini, Dk Emmanuel Nchimbi (pichani) amesema Tanzania inahitaji rais na sio mfano wa rais, huku akimmwagia sifa Mgombea Urais wao, Dk John Magufuli kuwa ni mwenye uwezo wa kufanya kazi, anayetimiza ahadi na anayependa watu.
10 years ago
Habarileo10 Jun
‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’
MGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.
10 years ago
Vijimambo29 Sep
Tibaigana: Wapinzani wana haki kuandamana
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2468240/highRes/839688/-/maxw/600/-/vlxppiz/-/Tibaigana.jpg)
Katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Buganguzi wilayani Muleba, Kamishna Tibaigana alisema suala la maandamano halikumsumbua kwa kuwa alielewa kuwa sheria inayaruhusu, hivyo alichokuwa akifanya ni kuwaita viongozi wa vyama vinavyotaka kuandamana na kufanya nao makubaliano ya namna maandamano hayo yanavyopaswa yafanywe kabla ya kuyaruhusu.“Pengine hiyo ndiyo sababu sikuwahi kushambuliwa kwa maneno ya kejeli au...