Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi: Tunahitaji rais ajae awe dikteta

>Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu namna sakata la wizi wa fedha kwenye akaunti ya Escrow linavyoshughulikiwa, huku wengine wakisema umefika wakati sasa nchi iongozwe na rais dikteta.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TUNAHITAJI RAIS AWAMU YA TANO AWE MZALENDO SIO MSAKA TONGE

Ningependa kutoa maoni kidogo kuhusu mjadala na mchakato inayoendelea . hivi sasa tunashuhudia watangaza nia wengi wakitangaza nia kwa kutoa hotuba moto moto za kushawishi wananchi wachaguliwe. Nimependa dialogue inayoendelea kuhusu Hotuba nzuri/na kutenda ukishachaguliwa. bahati nzuri kwenye maeneo yote mawilii nina uzoefu wa kutosha. katika utumishi wangu serikalini mpaka kufikia kustaafu nimeona hotuba nzuri na mbaya zinavyoandikwa. 
Nimekuwa Msaidizi wa Viongozi mbalimbali na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaotaka rais dikteta washindwe na walegee

Kuna hadithi kuhusu familia moja masikini iliyosikia sauti ya Mungu ikisema: “Ombeni leo mambo matatu mnayotaka niwafanyie ili maisha yenu ya sasa yabadilike.”

 

10 years ago

Mwananchi

Tibaigana: Nchi inahitaji rais dikteta

Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana amekwenda mbali zaidi; anataka rais dikteta.

 

9 years ago

StarTV

Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao

Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.

Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais  kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba: Tunahitaji rais mzalendo

>Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Jaji Joseph Warioba, ametaja sifa za rais ajaye kuwa ni uzalendo, uadilifu na dira katika kuliongoza taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunahitaji rais wa kujenga uchumi, kulinda rasilimali zetu

Ikiwa imebaki takriban miezi minne Rais Jakaya Kikwete amalize muda wake kikatiba, bado ni fumbo kubwa kwa Watanzania kuhusu nani atakuwa mrithi wa kiti chake mara baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais bora si lazima awe mwenye fedha

KWA muda mrefu baadhi yetu tumekuwa tukisikia habari za mfululizo, tena kwa kishindo za wanachama wa vyama vya siasa na hasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiweka hadharani nia yao...

 

10 years ago

Mwananchi

Karume: Rais bora awe na miaka si chini ya 50

Balozi Mstaafu Ali Abeid Karume amesema mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lazima awe amepevuka na kwamba awe na umri kuanzia miaka 50 na siyo 40 kama inavyotakiwa na Katiba ya mwaka 1977.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini rais ajaye awe mwanamke

Wanaharakati nchini wamesema rais ajaye anaweza kuwa mwanamke kutokana na sababu kadhaa, ikiwamo wingi na hamasa waliyonayo wanawake katika upigaji kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani