Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema Watanzania wanapaswa kumuombea Rais John Magufuli ili aendelee kutumbua majipu kwani nchi ilifika pagumu baada ya wezi kuonekana wajanja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TUMUOMBEE MAGUFULI; ANAKABILI MGOGORO ULIODUMU MIAKA 50 ZANZIBAR

 Rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. TUMSHUKURU Mungu kwa kuwa tumempata rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyeapishwa Alhamisi iliyopita jijini Dar es Salaam.Lakini wakati tunafurahia tukio hilo, wengi hatuna furaha kutokana na rais huyo kubeba mgogoro mzito wa kisiasa visiwani Zanzibar ambao umedumu kwa miaka 50 sasa tangu tuungane mwaka 1964. Maalim Seif Sharif Hamadi. Wazanzibari wamekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana, Nape hawamjui mbaya wa nchi

KATIKA hali ya kusikitisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia viongozi wake waandamizi, Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, hawamjui mbaya wa maendeleo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yaiweka Ukawa pagumu

Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limeutaka uongozi wa chama hicho kusitisha uamuzi wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda Ukawa hadi suala hilo litakapojadiliwa kikatiba ndani ya chama hicho Julai 25.

 

10 years ago

GPL

Pluijm: Tanga pagumu lakini tutakomaa

Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. KOCHA Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu yake na kusema kuwa ana nafasi ya kufanya vizuri katika mchezo wa leo dhidi ya Mgambo, ingawa amekiri utakuwa mgumu kutokana na hali ya hewa na mazingira ya uwanja. Yanga ambayo imeweka kambi katika Hoteli ya Capital City, leo inatarajiwa kuwa mgeni wa Mgambo JKT kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

GPL

TUMUOMBEE SARA MVUNGI!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
Maombi! Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi anateseka hospitalini baada ya kusumbuliwa mara kwa mara na ugonjwa wa nimonia (pneumonia)  ambao umekuwa ukimkosesha amani na muda wa kufanya kazi za kimaendeleo. Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi akiwa Hospitali ya TMJ. Akizungumza kwa taabu na Ijumaa Wikienda akiwa amelazwa...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli amkabidhi Nape wanamichezo, wasanii

RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo. Wakati wa kampeni zake za urais, Rais Magufuli mara kadhaa alikaririwa akisema atakuwa mstari wa mbele kuwasaidia wanamichezo na wasanii katika masuala mbalimbali wakati wa utawala wake.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amteua Nape Wizara ya Michezo

nape1NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

RAIS wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ametangaza Baraza la Mawaziri na kumteua Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.

Awali kabla ya uteuzi wa jana wa Serikali ya Awamu ya Tano, wizara hiyo ilikuwa chini ya mbunge wa kuteuliwa Dk. Fenella Mukangara na Naibu Waziri wake Juma Nkamia ambaye ni Mbunge wa Chemba.

Akitangaza baraza hilo jana jijini Dar es Salaam, Rais...

 

9 years ago

Habarileo

Nape aomba Watanzania kumuombea Magufuli

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewaomba Watanzania kuendelea kumuombea Rais John Magufuli, kwani kazi ya kutumbua majipu ambayo ameianza ni kazi ngumu na yenye vikwazo.

 

9 years ago

Vijimambo

MWANAMITINDO NGURI WAKITANZANIA TUMUOMBEE APONE HARAKA


Mwanamitindo na Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese alipoteza fahamu mara mbili katikati ya jiji la New York nchini Marekani.Kupitia Instagram, Millen amesema ni msamaria mwema ndiye aliyemsaidia.“Something happened this afternoon right after I posted my last video,which reminded me a very important thing we always forget,” aliandika.“Every one of us will go and it’s just a matter of time ,be ready all the times ,I passed out twice on 42 street in New York today ,and strangers...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani