Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUMUOMBEE SARA MVUNGI!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
Maombi! Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi anateseka hospitalini baada ya kusumbuliwa mara kwa mara na ugonjwa wa nimonia (pneumonia)  ambao umekuwa ukimkosesha amani na muda wa kufanya kazi za kimaendeleo. Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi akiwa Hospitali ya TMJ. Akizungumza kwa taabu na Ijumaa Wikienda akiwa amelazwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SARA MVUNGI AUMWA ALAZWA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Sara Mvungi akiwa katika Hospitali ya TMJ, Dar. Sara Mvungi akiwa na Bahati Bukuku alipomtembelea katika hospitali hiyo. (PICHA NA…

 

11 years ago

GPL

SARA MVUNGI APATA PIGO

NA GLADNESS MALLYA MWIGIZAJI na staa wa nyimbo za Injili Bongo, Sara Mvungi amepata pigo kwa kuondokewa na mdogo wake, Maria katika Hospitali ya Bombo jijini Tanga. Mwigizaji na staa wa nyimbo za Injili Bongo, Sara Mvungi. Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema mdogo wake aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua na homa kali, alilazwa katika hospitali hiyo hadi alipopatwa na umauti usiku wa kuamkia Jumatatu, Juni 16,...

 

11 years ago

GPL

SARA MVUNGI AFANYIWA KITU MBAYA

Stori: Gladness Mallya
MWIMBAJI wa  nyimbo za injili nchini, Sara Mvungi amefanyiwa kitu mbaya kwa kukombwa vitu kibao kwenye bodaboda. Sara Mvungi. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi jioni maeneo ya Kwanyerere, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo Sara alikuwa kwenye bodaboda ghafla ilitokea nyingine ikiwa kwenye mwendo wa kasi na wahusika walikuwa wawili ambao walimnyang’anya pochi. Akizungumza kwa...

 

10 years ago

GPL

SARA MVUNGI: NINA MIAKA KUMI SIJAFANYA ZINAA

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia    Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema. Msanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi. Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

9 years ago

Mwananchi

Nape: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema Watanzania wanapaswa kumuombea Rais John Magufuli ili aendelee kutumbua majipu kwani nchi ilifika pagumu baada ya wezi kuonekana wajanja.

 

9 years ago

Vijimambo

MWANAMITINDO NGURI WAKITANZANIA TUMUOMBEE APONE HARAKA


Mwanamitindo na Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese alipoteza fahamu mara mbili katikati ya jiji la New York nchini Marekani.Kupitia Instagram, Millen amesema ni msamaria mwema ndiye aliyemsaidia.“Something happened this afternoon right after I posted my last video,which reminded me a very important thing we always forget,” aliandika.“Every one of us will go and it’s just a matter of time ,be ready all the times ,I passed out twice on 42 street in New York today ,and strangers...

 

9 years ago

GPL

TUMUOMBEE MAGUFULI; ANAKABILI MGOGORO ULIODUMU MIAKA 50 ZANZIBAR

 Rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. TUMSHUKURU Mungu kwa kuwa tumempata rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyeapishwa Alhamisi iliyopita jijini Dar es Salaam.Lakini wakati tunafurahia tukio hilo, wengi hatuna furaha kutokana na rais huyo kubeba mgogoro mzito wa kisiasa visiwani Zanzibar ambao umedumu kwa miaka 50 sasa tangu tuungane mwaka 1964. Maalim Seif Sharif Hamadi. Wazanzibari wamekuwa...

 

11 years ago

GPL

SARA APATA GONJWA LA AJABU

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa sinena za Kibongo ambaye amejikita kwenye nyimbo za Injili, Sara Mvungi amejikuta kwenye wakati mgumu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya tumbo bila kujua chanzo wala ugonjwa husika. Sara Mvungi. Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema katika hali ya kutaharuki tatizo hilo lilipoanza alihisi labda anasumbuliwa na ugonjwa wa ‘typhoid’ lakini alipokwenda hospitali hakukutwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani