SARA MVUNGI AUMWA ALAZWA
![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmmkPFgzIMRUtPX6iuOqvJbs7j4gCeAfQLOuAMNa7UyB-yXyRoE4pHX7S0kouMwQMafqKPr6zyRBv01AJR5P*bem/IMG20141107WA0015.jpg)
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Sara Mvungi akiwa katika Hospitali ya TMJ, Dar. Sara Mvungi akiwa na Bahati Bukuku alipomtembelea katika hospitali hiyo. (PICHA NA…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lYnNv0-ng5D8Jlb4rl0K23iAvr1fJHSRbsKaW6Sv9KqFIVXvBWuCrviMsl71JrN0CaOKNwg0x5MeBCm5HeUAueub*B9zx8Co/sara.jpg)
TUMUOMBEE SARA MVUNGI!
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
Maombi! Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi anateseka hospitalini baada ya kusumbuliwa mara kwa mara na ugonjwa wa nimonia (pneumonia)Â ambao umekuwa ukimkosesha amani na muda wa kufanya kazi za kimaendeleo. Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi akiwa Hospitali ya TMJ. Akizungumza kwa taabu na Ijumaa Wikienda akiwa amelazwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCme3focclntpAKIStUsgD5u0lbrAw*bRYTYHPM05v6prvNOcvaOq9JxJ*0AOe7FriatpSAI99kXKCv1HEpnHrmh/4.jpg?width=650)
SARA MVUNGI APATA PIGO
NA GLADNESS MALLYA MWIGIZAJI na staa wa nyimbo za Injili Bongo, Sara Mvungi amepata pigo kwa kuondokewa na mdogo wake, Maria katika Hospitali ya Bombo jijini Tanga. Mwigizaji na staa wa nyimbo za Injili Bongo, Sara Mvungi. Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema mdogo wake aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua na homa kali, alilazwa katika hospitali hiyo hadi alipopatwa na umauti usiku wa kuamkia Jumatatu, Juni 16,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-0cVXC43YP3-UOa1aItHmQa9ofAfUmJd0pk4P6Q6P3moC2iJ00frPtSaTPyyX-eFDRvlGy8YpPPclMpykKgmI*k/SARA.jpg?width=650)
SARA MVUNGI AFANYIWA KITU MBAYA
Stori: Gladness Mallya
MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, Sara Mvungi amefanyiwa kitu mbaya kwa kukombwa vitu kibao kwenye bodaboda. Sara Mvungi. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi jioni maeneo ya Kwanyerere, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo Sara alikuwa kwenye bodaboda ghafla ilitokea nyingine ikiwa kwenye mwendo wa kasi na wahusika walikuwa wawili ambao walimnyang’anya pochi. Akizungumza kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0nMfYfkUNC2JXfveXaQNpemxePX8bMraLnP2gPJPRyjk7TxrY6b0vp5wPKFpBTse8SgBpsfYZ6yt5PH8Dj4HE0x/saramvungi.jpg)
SARA MVUNGI: NINA MIAKA KUMI SIJAFANYA ZINAA
Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia   Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema. Msanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi. Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61mtUTz9nD1KEnSjyJcN5-XP71nTWmkMQWKBqdImnp28FrxBbHG1U*YlvRqtMCB9ylOJUvJcMylsToEEssBdg52/flora.jpg)
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpso1BuzQ3M6*fNNq996l*rWAnUY8XZqdqcEF*PczQk4vS7Rc*WwFWuCMawWGRNbIZRRVxCTpLBBGpj9Ou89V4i4U/SARA.jpg?width=650)
SARA APATA GONJWA LA AJABU
Stori: Mayasa Mariwata
MSANII wa sinena za Kibongo ambaye amejikita kwenye nyimbo za Injili, Sara Mvungi amejikuta kwenye wakati mgumu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya tumbo bila kujua chanzo wala ugonjwa husika. Sara Mvungi. Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema katika hali ya kutaharuki tatizo hilo lilipoanza alihisi labda anasumbuliwa na ugonjwa wa ‘typhoid’ lakini alipokwenda hospitali hakukutwa na...
9 years ago
MichuziMSANII WA KENYA SARA K KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBE AMANI HAPA NCHINI
10 years ago
VijimamboBRIGEDIA JENERALI SARA THOMAS RWAMBALI ATEULIWA KUWA MWAKILISHI MAALUM WA AU SUDAN YA KUSINI
Na Mwandishi Maalum, New York
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosanzana Dlamini Zuma, amemteua, Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ),kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika Sudan ya Kusini .
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na AU na nakala yake kutumwa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, inaeleza kwamba ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qcT9KfImAsk/VS9mhd94IWI/AAAAAAAHReE/jlItwmdAO_I/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
BRIGEDIA JENERALI SARA THOMAS RWAMBALI ATEULIWA KUWA MWAKILISHI MAALUM WA AU SUDAN YA KUSINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-qcT9KfImAsk/VS9mhd94IWI/AAAAAAAHReE/jlItwmdAO_I/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosanzana Dlamini...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania