Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMITINDO NGURI WAKITANZANIA TUMUOMBEE APONE HARAKA


Mwanamitindo na Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese alipoteza fahamu mara mbili katikati ya jiji la New York nchini Marekani.Kupitia Instagram, Millen amesema ni msamaria mwema ndiye aliyemsaidia.“Something happened this afternoon right after I posted my last video,which reminded me a very important thing we always forget,” aliandika.“Every one of us will go and it’s just a matter of time ,be ready all the times ,I passed out twice on 42 street in New York today ,and strangers...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI

Ustadh Hemed (mwenye kipaza sauti) akiongoza kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile apone haraka kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015 mjini Boston jimbo la Massachusetts, Rashid Mkakile (hayupo pichani) alipata stroke alipokua kikazi jimboni hapo na kumpelekea kulazwa katika hospitali ya Beth Israel Deaconess Medical Center tangia mwezi wa Oktoba 2014 na baadae kuendelea na mazoezi ya mama cheza (Physical therapy) na kumfanya kuendelea vizuri na kesho Jumapili atarejea Dallas...

 

10 years ago

Vijimambo

Kisomo cha kumuombea Rashid Mkakile apone haraka ni leo January 17, 2015(Boston, MA)

A.Alaykum, nategemea mnaendelea vizuri katika shughuli zenu za kila siku kwa uwezo wake AllahNilikuwa nawajuulisheni kuwa kutakuwa na kisomo cha kumsomea Ndugu yetu Rashid Mkakile ambaye ni mgonjwa alikuwa amelazwa Hospital ya Beth Israel Deaconess Medical Center na sasa hivi yupo kwenye Physical therapy kwa ajili ya Recovery, lakini bado ni mgonjwaTunamuomba Mungu ampe uzima wake na duwa zenu zinahitajika
Tunawaomba kwa kila mwenye uwezo wa kuja kusoma kwa pamoja itakuwa vizuri na...

 

10 years ago

GPL

KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI MAREKANI‏

Watanzania wa Massachusetts wakifanya kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile aendelee kupata nafuu kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015. mjini Boston jimbo la Massachusetts. Kushooto n Mohammed Mkakile(mdogo wa Rashid), Rashid Mkakile na Eliud Mbowe wakifuatilia…

 

10 years ago

GPL

TUMUOMBEE SARA MVUNGI!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
Maombi! Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi anateseka hospitalini baada ya kusumbuliwa mara kwa mara na ugonjwa wa nimonia (pneumonia)  ambao umekuwa ukimkosesha amani na muda wa kufanya kazi za kimaendeleo. Staa wa sinema za Kibongo ambaye pia ni mwimba Injili, Sara Mvungi akiwa Hospitali ya TMJ. Akizungumza kwa taabu na Ijumaa Wikienda akiwa amelazwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nape: Nchi ilifika pagumu, tumuombee Magufuli

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema Watanzania wanapaswa kumuombea Rais John Magufuli ili aendelee kutumbua majipu kwani nchi ilifika pagumu baada ya wezi kuonekana wajanja.

 

9 years ago

GPL

TUMUOMBEE MAGUFULI; ANAKABILI MGOGORO ULIODUMU MIAKA 50 ZANZIBAR

 Rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. TUMSHUKURU Mungu kwa kuwa tumempata rais mchapa kazi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyeapishwa Alhamisi iliyopita jijini Dar es Salaam.Lakini wakati tunafurahia tukio hilo, wengi hatuna furaha kutokana na rais huyo kubeba mgogoro mzito wa kisiasa visiwani Zanzibar ambao umedumu kwa miaka 50 sasa tangu tuungane mwaka 1964. Maalim Seif Sharif Hamadi. Wazanzibari wamekuwa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMITINDO ALIYEPOTEA MAREKANI AKUTWA HOSPITALINI

Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng. Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng aliyepotea kwa muda wa wiki mbili huku akitafutwa na polisi amekutwa akiwa hai katika hospitali moja New York. Marafiki wa mwanamitindo huyo walitoa taarifa polisi na kuanzisha kampeni maalum ya kumtafuta baada ya kushindwa kumpata kwa kipindi kirefu, kampeni ambayo iliungwa mkono na watu maarufu akiwemo Rihanna....

 

9 years ago

BBCSwahili

H&M yaajiri mwanamitindo wa kwanza Muislamu

Kampuni ya kuuza nguo za kifahari ya H&M imetumia picha za mwanamitindo wa kwanza Muislamu aliyevalia hijab

 

10 years ago

Mtanzania

Jokate: Mwanamitindo bora ni mawasiliano mazuri

jokate2NA THERESIA GASPER
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo amesema ili wanamitindo wadogo waweze kufanikiwa katika kazi zao, lazima wajenge mitandao ya mawasiliano mazuri na watu mbalimbali.
“Msanii unatakiwa kuwa mfano mzuri katika jamii kwa kufanya mambo yanayokubalika ili jamii iweze kukufikiria vizuri na wengine wajifunze mazuri kupitia wewe,” alisema Jokate, katika kongamano la Jukwaa la Sanaa lililofanyikia jana kwenye ukumbi wa BASATA, jijini Dar es Salaam.
Naye mwanamitindo Asia Idarous, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani