Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Nitahakikisha nchi haifanywi shamba la bibi

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk  John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu, atahakikisha nchi inapata mgao halali kutokana na uwekezaji kwenye rasilimali zilizopo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Diwani awashauri wenzake wasiwe shamba la bibi

DIWANI Kenneth Yindi wa Kata ya Buigiri wilayani Chamwino mkoani Dodoma, amewashauri madiwani wenzake kutogeuzwa shamba la bibi katika kupitisha miradi mbalimbali ya maendeleo.

 

10 years ago

Michuzi

Shamba la Bibi na Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam toka angani

Uwanja wa Uhuru Maarufu kama "Shamba la Bibi" ukiwa kushoto mwa Uwanja Mkuu wa Taifa ambao bado haujapewa jina rasmi unavyoonekana leo baada ya kuwekwa paa upande wa "Urusi".Haijajulikana bado lini utaanza kutumika na kuupumzisha Uwanja wa Taifa ambao ndilo kimbilio la shughuli karibu zote za michezo  na za jamii.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mbarali wamtaka Rais Magufuli kulirejesha shamba la Kapunga

WANANCHI katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanasubiri kurudishwa kwa Shamba la Kapunga serika

Felix Mwakyembe

 

9 years ago

GPL

BIBI AANGUA KILIO MBELE YA MAGUFULI!

Richard Bukos aliyekuwa Manyara BIBI mmoja anayeonekana kula chumvi nyingi, Jumapili iliyopita alijikuta akiangua kilio baada ya kuzuiwa kuzungumza na Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, lakini alimsifia kiongozi huyo na kudai ndiye anayefaa kuiongoza Tanzania baada ya Rais Jakaya Kikwete. Bibi huyo akilia. Katika tukio hilo, bibi huyo akiwa nyuma...

 

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA,GEITA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (kushoto)  akiwa na baadhi ya ndugu jamaaa na marafiki wakisali alipozuru kaburi la babu yake Simon Marko Magufuli na bibi yake Anastazia wazaa baba yake  aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Katoma, Geita Vijijini, , akielekea kufanya mkutano wa kampeni katika Kata ya Nkoma,. NPICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wananchi wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa kakake Dk Magufuli katika Kijiji cha Katoma
 Dk Magufuli...

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA,GEITA

   Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (kushoto)  akiwa na baadhi ya ndugu jamaaa na marafiki wakisali alipozuru kaburi la babu yake Simon Marko Magufuli na bibi yake Anastazia wazaa baba yake  aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Katoma, Geita Vijijini, akielekea kufanya mkutano wa kampeni katika Kata ya Nkome.
  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (kushoto)  akiwa na baadhi ya ndugu jamaaa na marafiki wakisali alipozuru kaburi la babu yake...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli azuru makaburi ya Babu na Bibi yake, Katoma — Geita Vijijini

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akielekea katika makaburi ya makaburi ya babu na bibi yake mzaa wa baba, eneo la Katoma, wilayani Geita Vijijini huku akiwa ameambatana na ndugu zake ikiwemo baba zake wadogo na mama zake wadogo. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akiwa katika makaburi ya babu na bibi yake mzaa wa baba, eneo la Katoma, wilayani Geita Vijijini akiwatambulisha ndugu zake ikiwemo baba yake...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AJIBU BARUA YA KIKONGWE, AAMURU APEWE EKARI, BIBI AMSHUKURU (+VIDE)


Kikongwe wa Miaka 89 amekabidhiwa shamba la ekari moja na kiwanja cha makazi Kwa maelekezo ya Rais Magufuli baada ya kumuandikia barua na kumlalamikia eneo lake kutwaliwa na kujengwa mnada mwaka 1999.Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya wamefika Kijiji cha Kimashuku na kumkabidhi Bi Hawa Juma Shila eneo hilo huku Dc akimtaka Afisa Ardhi kuanza haraka utaratibu wa kumkabidhi hati ya eneo hilo aliloonyeshwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani