Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani awashauri wenzake wasiwe shamba la bibi

DIWANI Kenneth Yindi wa Kata ya Buigiri wilayani Chamwino mkoani Dodoma, amewashauri madiwani wenzake kutogeuzwa shamba la bibi katika kupitisha miradi mbalimbali ya maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMALA AWASHAURI VIJANA WENZAKE KUTOTUMIA VIBAYA MITANDAO HIYO YA KIJAMII.

Na, Irene Mwidima, Globu ya jamii.

John George Kamala, Kijana anayejihusisha na masuala ya mitindo (model) amewataka vijana kutokutumia vibaya mitandao ya kijamii bali waitumie kujiingizia kipato.

Kamala pia amekuwa moja ya vijana wanaojiingizia kipato kupitia mtandao wa kijamii YouTube.

Amesema, ukiitumia vizuri mitandao ya Kijamii inakuleta manufaa makubwa sana bila kumtegemea mtu akusaidie na zaidi utajulikana kwa upana zaidi na watu mbalimbali.

Kamala amewasihi vijana wote kuacha kutumia...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitahakikisha nchi haifanywi shamba la bibi

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk  John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa kuingia Ikulu, atahakikisha nchi inapata mgao halali kutokana na uwekezaji kwenye rasilimali zilizopo.

 

10 years ago

Michuzi

Shamba la Bibi na Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam toka angani

Uwanja wa Uhuru Maarufu kama "Shamba la Bibi" ukiwa kushoto mwa Uwanja Mkuu wa Taifa ambao bado haujapewa jina rasmi unavyoonekana leo baada ya kuwekwa paa upande wa "Urusi".Haijajulikana bado lini utaanza kutumika na kuupumzisha Uwanja wa Taifa ambao ndilo kimbilio la shughuli karibu zote za michezo  na za jamii.

 

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM WAAMBIWA CHONDE WASIWE WANAZIMA SIMU ZAO

Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini, Mrisho Millao (kushoto) akihakiki namba ya simu anayooneshwa na  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) wakati wa kuchezesha droo ya 45 ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo, ambapo mshindi wa pili wa kitita cha shilingi milioni 100 alipatikana. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu awashauri UKAWA

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Endtime Havest, Dk Elia Mauza amewataka viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutorudi katika Bunge Maalum la Katiba hadi maoni ya wananchi yatakapoheshimiwa....

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Askofu awashauri viongozi Dar


NA REHEMA MAIGALA
MWENYEKITI  wa Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, amewashauri viongozi wa Jiji la Dar es Salaam, kubadilisha ratiba ya ufanyaji wa usafi barabarani.
Alisema wafanya usafi wanatakiwa  kufanya kazi zao  jioni, kuanzia saa 12, ili kuepukana na msongamano mbalimbali  ambayo inakwamisha utendaji wao wa kazi .
Akizungumza na Uhuru jana, Dar es Salaam, Pius alisema bado suala la usafi haliridhishi katika Jiji la Dar es Salaam, kwa sababu ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa Facebook awashauri wanawake

Mwanamke anayeshikilia cheo cha juu zaidi katika kampuni ya Facebook, amewataka wanawake kuchukua hatua za kubuni mazingira ya usawa kote duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani