WATEJA WA VODACOM WAAMBIWA CHONDE WASIWE WANAZIMA SIMU ZAO
![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69qXvZegFu*0MgtOKv0J7XXMpMZ8p4XTbtWynZASRXYOnf-XHr7skPfZqepC9L**F9rJgnGscXe5hhHhWOE*YIW/001.JAY.jpg?width=650)
Msimamizi wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini, Mrisho Millao (kushoto) akihakiki namba ya simu anayooneshwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) wakati wa kuchezesha droo ya 45 ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo, ambapo mshindi wa pili wa kitita cha shilingi milioni 100 alipatikana. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EuEwy-IsCS0/VNogBBqzwRI/AAAAAAAHC28/vSsU0DTtYRo/s72-c/unnamed.jpg)
CHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA-VODACOM TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-EuEwy-IsCS0/VNogBBqzwRI/AAAAAAAHC28/vSsU0DTtYRo/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao
Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Kampuni ya Tigo imeingia katika ushirikiano na mabenki makubwa 17 nchini ili kuwapatia wateja wa Tigo pesa uwezo wa kutuma na kupokea pesa kutoka katika akaounti zao za benki kwenda kwenye simu...
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Wateja wa Tigo sasa wanaweza kufurahia nyimbo millioni 36 kwenye simu zao za mkononi za smartphones
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni.
Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Chonde chonde …..Jeshi la Polisi chukueni hatua dhidi ya mabomu haya!
WATANZANIA taratibu wameanza kuona kama ni mchezo wa kuigiza au mazoea pale kila baada ya muda fulani tukio la kulipuka kwa bomu katika kanisa au sehemu ya mkusanyiko au kwenye mkutano wa kisiasa kama ni jambo la kawaida.
Imefikia mahali kwamba milipuko ya mabomu inaanza kuonekana kama ni sehemu ya utamaduni wetu kwa kukubali kwa kirahisi watu wenye dhamira ovu na katili ya kutaka kuangamiza binadamu wenzao pasipo sababu ya msingi na hata kama mtu ana sababu ya msingi kuelezea hisia zake...
10 years ago
GPLCHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2jV2YRd0EbU/VIw53Ur9DZI/AAAAAAAG3Bk/_SquiQ7TpLs/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani awaambia madereva chonde chonde zingatieni sheria za usalama barabarani
![](http://1.bp.blogspot.com/-2jV2YRd0EbU/VIw53Ur9DZI/AAAAAAAG3Bk/_SquiQ7TpLs/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
GPLWAZIRI WA MAMBO YA NDANI AWAAMBIA MADEREVA CHONDE CHONDE ZINGATIENI SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/176.jpg?width=600)
WANAKIBINDU WASEMA :CHONDE CHONDE MH.RIDHIWANI UKIPATA UBUNGE ANZA NA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIBINDU