KAMALA AWASHAURI VIJANA WENZAKE KUTOTUMIA VIBAYA MITANDAO HIYO YA KIJAMII.
![](https://1.bp.blogspot.com/-W_JCtR7QwfM/XrENxxLAWYI/AAAAAAALpKk/o2hUwFENpJ0R83fIy16lWgGI3A2qQSVxACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200503-WA0028.jpg)
Na, Irene Mwidima, Globu ya jamii.
John George Kamala, Kijana anayejihusisha na masuala ya mitindo (model) amewataka vijana kutokutumia vibaya mitandao ya kijamii bali waitumie kujiingizia kipato.
Kamala pia amekuwa moja ya vijana wanaojiingizia kipato kupitia mtandao wa kijamii YouTube.
Amesema, ukiitumia vizuri mitandao ya Kijamii inakuleta manufaa makubwa sana bila kumtegemea mtu akusaidie na zaidi utajulikana kwa upana zaidi na watu mbalimbali.
Kamala amewasihi vijana wote kuacha kutumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
TRCA: Msitumie vibaya mitandao ya kijamii
WATANZANIA wamehimizwa kuacha matumizi mabaya ya mitandao ya jamii ikiwemo kuweka picha za utupu, kusababisha ugomvi, kuwahimiza wengine kwa mambo yasiyo ya kweli, kupotosha jamii na kuvuruga maendeleo. Akizungumza, Meneja...
5 years ago
MichuziTCRA.CCC:VIJANA NDIYO WAHANGA WAKUBWA WA MITANDAO YA KIJAMII
5 years ago
MichuziMITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake' na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...
9 years ago
Habarileo14 Dec
Diwani awashauri wenzake wasiwe shamba la bibi
DIWANI Kenneth Yindi wa Kata ya Buigiri wilayani Chamwino mkoani Dodoma, amewashauri madiwani wenzake kutogeuzwa shamba la bibi katika kupitisha miradi mbalimbali ya maendeleo.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wanaotukana, kutumia vibaya mitandao kukiona
WIZARA ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia imeamua kudhibiti wanaotumia vibaya mitandao kwa kuweka picha zisizo na maadili kwa jamii, wanaotumia lugha ya matusi na wanaoiba kupitia mitandao.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Basata yaonya wanaotumia vibaya mitandao
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii
10 years ago
Habarileo05 Apr
Mitandao ya kijamii wapewa somo
WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.