Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATIMAYE TFF YAMFUKUZA KAZI MAART NOOIJ

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo wa timu.
Kamati ya Utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo; 1. Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa mara moja kuanzia Juni 21, 2015.
2. Benchi lote la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSSS: KOCHA WA TAIFA STARS MAART NOOIJ NA BENCHI LAKE LOTE LA UFUNDI WATIMULIWA KAZI LEO

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo wa timu.
Kamati ya Utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo;1. Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa mara moja kuanzia Juni 21, 2015.2. Benchi lote la ufundi la Taifa Stars limevunjwa kuanzia Juni 21, 2015.3. Uongozi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Liverpool yamfukuza kazi kocha wao Brendan Rodgers

Klabu ya soka ya Liverpool ya nchini Uingereza imemfukuza meneja wake Brendan Rodgers baada ya matokeo mabaya ya muda mrefu. Uamuzi huo wa kumfuta kazi Rodgers ulikuwa umefanyika hata kabla ya mchezo ulioisha kwa suluhu dhidi ya Everton ambao uliwafanya Liverpool wabaki katika nafasi ya kumi katika msimamo wa ligi ya England. ”Licha ya kuwa […]

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Nooij ajiweka njiapanda TFF

Timu ya Taifa ya soka, Taifa Stars, sasa ndiyo habari ya mjini. Kufanya vibaya kwa timu hiyo kwenye Mashindano ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Cosafa) ilikoalikwa, kumewafanya wadau wa soka nchini kuiponda, wengine wakitupa lawama kwa kocha Mart Ignatius Nooij, wakitaka afukuzwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi acha kujitetea, fanya kazi yako TFF

Kila jambo lina na mwanzo na mwisho, au kwa maneno mengine, mwanzo wa leo ni mwisho wa jana na mwisho wa leo ni mwanzo wa kesho. Nakumbuka mwaka jana kwa miezi kadhaa, uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ulikuwa kiini cha mazungumzo kila kona.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF fanyieni kazi changamoto za Lligi Kuu Bara

Maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa ligi yanaendelea kupamba moto na timu mbalimbali zinaendelea kujiimarisha  kuwa na vikosi bora ambavyo himili ushindani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tottenham yamfukuza kocha Boas

Klabu Tottenham imemtimua kocha wake Andre Villas Boas siku moja baada ya Tottenham kupata kichapo cha magoli 5- 0 kutoka Liverpool. o

 

9 years ago

BBCSwahili

Burundi yamfukuza mwanabalozi wa Rwanda

Serikali ya Burundi imemfurusha afisa wa ubalozi wa Rwanda kwa madai ya kuhujumu usalama nchini humo.

 

10 years ago

Mtanzania

Kamati ya Bunge yamfukuza Magufuli

magufuliPatricia Kimelemeta Jonas Mushi, Dar es Salaam

KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imemfukuza Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli baada ya kushindwa kutoa maelezo ya namna Serikali itakavyoweza kulipa madeni ya wakandarasi yanayofikia Sh trilioni moja.

Dk. Magufuli alikumbana na kibano hicho cha kamati hiyo ambayo inaongozwa na Mwenyekiti wake Peter Serukamba, ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kamati hiyo kiliambia MTANZANIA jana kuwa wakati wa kikao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani