Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimaye Wolper Akubali Kuposwa!!

Baada ya mwigizaji wa filamu hapo  Bongo, Manaiki Sanga ‘the don’ kutangaza nia ya kutaka kumposa mwigizaji Jacqueline Wolper, staa huyo ameibuka na kumjibu kuwa na yeye yupo tayari kama ataweza kutimiza masharti.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki kajipanga, apeleke posa ikajadiliwe na wazee wake.

“Nimesikia habari za Manaiki kutaka kuniposa nikacheka sana kwa sababu yeye kama...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WOLPER HATIMAYE AKUBALI KUPOSWA

Stori: Imelda Mtema
BAADA ya msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga kutangaza nia ya kutaka kumposa mwigizaji Jacqueline Wolper, staa huyo ameibuka na kumjibu kuwa na yeye yupo tayari kama ataweza kutimiza masharti. Mwigizaji wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akipozi na Manaiki. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatimaye Al Maliki akubali kukaa pembeni

Waziri mkuu wa Iraq aliyeondolewa madarakani Nouri Al Maliki, amekubali kuondoka madarakani na kumpisha Haider al-Abadi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi akubali yaishe

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....

 

10 years ago

GPL

MTITU AKUBALI KUSAMEHEANA NA STEVE

Brighton Masalu
KUJISHUSHA! Staa wa filamu Bongo, William Mtitu amesema yupo tayari kumaliza ugomvi na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kutokana na shinikizo kutoka kwa wasanii wenzake, wadau na mkewe. Kwa mujibu wa chanzo makini, kikao kizito kikimhusisha Mtitu na wasanii nguli kiliitishwa na kumuonya juu ya suala hilo kabla ya kukubali kuwa yuko tayari kumalizana na Steve. “Kilikuwa ni kikao kizito kaka,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

9 years ago

Habarileo

Samatta akubali kubeba lawama

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesema wapo tayari kulaumiwa na mashabiki endapo watashindwa kuifunga Malawi leo. Samatta aliyasema hayo jana baada ya mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Malawi wa kutafuta kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi.

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuachwa na mpenzi wake wa siku nyingi Bond, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma, Aunty Lulu amekubali yaishe na sasa hana tena kinyongo nao. Mwigizaji wa filamu Bongo, 'Aunty Lulu'. “Mimi sina tena kinyongo na Wastara, vile nilikuwa namfanyia tu vituko, lakini kwa sasa asiniogope wala asiwe na wasiwasi na mimi,… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather akubali kuzichapa na Pacquiao

Floyd Mayweather Junior ametangaza kuwa pigano na mwanamasumbwi raia wa ufilipino Manny Pacquiao litafanyika mjini Las Vegas Mei 2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani