WOLPER HATIMAYE AKUBALI KUPOSWA
![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wHKNr4PfECLwR2q6K*Zr9jW9D1v2ypcBsBgrpL3U6FUZctKxMDU49AZzW0-pPlh9aAxvFPRNL8m2ITK5RIUAG1r/WOLPER.jpg)
Stori: Imelda Mtema BAADA ya msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga kutangaza nia ya kutaka kumposa mwigizaji Jacqueline Wolper, staa huyo ameibuka na kumjibu kuwa na yeye yupo tayari kama ataweza kutimiza masharti. Mwigizaji wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akipozi na Manaiki. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Jan
Hatimaye Wolper Akubali Kuposwa!!
Baada ya mwigizaji wa filamu hapo Bongo, Manaiki Sanga ‘the don’ kutangaza nia ya kutaka kumposa mwigizaji Jacqueline Wolper, staa huyo ameibuka na kumjibu kuwa na yeye yupo tayari kama ataweza kutimiza masharti.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki kajipanga, apeleke posa ikajadiliwe na wazee wake.
“Nimesikia habari za Manaiki kutaka kuniposa nikacheka sana kwa sababu yeye kama...
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Hatimaye Al Maliki akubali kukaa pembeni
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Nchimbi akubali yaishe
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3swOwzCn-02it4ObiAP-b70qOA6Xyj4bR*QI9xsET8L0LfSzqyaSMFaHv4vCkLlFQidoNYrAvcii4x-ej4PXknvC/Mtitu.jpg)
MTITU AKUBALI KUSAMEHEANA NA STEVE
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Loga akubali yaishe Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Samatta akubali kubeba lawama
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesema wapo tayari kulaumiwa na mashabiki endapo watashindwa kuifunga Malawi leo. Samatta aliyasema hayo jana baada ya mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Malawi wa kutafuta kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfsG8ArHAUlRWuVdSAnM6mCFMX6c0*IyPl91JGqZLuukPuKpaL7edfzNKC4sa5YuF-cgirSSQlgj*zNDq-kjmyc/wastaralulu.jpg)
AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!
10 years ago
BBCSwahili21 Feb
Mayweather akubali kuzichapa na Pacquiao