Samatta akubali kubeba lawama
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesema wapo tayari kulaumiwa na mashabiki endapo watashindwa kuifunga Malawi leo. Samatta aliyasema hayo jana baada ya mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Malawi wa kutafuta kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Rogders akubali lawama kipigo Liverpool
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
JK amekubali tena kubeba aibu ya Escrow
KILA kukicha serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekuwa ikifanya madudu makubwa yanayochangia kuzorota kwa maendeleo ya wananchi. Madudu hayo yananifanya niamini kwamba Rais Jakaya Kikwete hakwaziki nayo, inavyoonekana anaufurahia...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Gari za kijeshi zatumika kubeba maharusi
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Adaiwa kubeba kilo 22 za mirungi JNIA
10 years ago
Habarileo28 Dec
Wanawake wanaochelewa kubeba ujauzito waonywa
WANAWAKE wanaochelewa kubeba ujauzito, wameonywa kuwa kuchelewa huko kunawaweka hatarini kuja kupata watoto wenye mtindio wa ubongo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Castle Lager yazidi kubeba wadau
WANYWAJI wanne wa Castle Lager, wamejishindia safari ya kwenda nchini Hispania kutembelea Uwanja wa Camp Nou wa Klabu ya Barcelona, baada ya kuibuka washindi katika ‘droo’ iliyofanyika juzi, jijini Dar...
9 years ago
GPLMISS TZ: NAJUTA KUBEBA TAJI 2015
9 years ago
Habarileo23 Oct
Samia aahidi kubeba changamoto za walemavu
MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kutatua changamoto zinazowakabili.