Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wanaochelewa kubeba ujauzito waonywa

Dk Ali MzigeWANAWAKE wanaochelewa kubeba ujauzito, wameonywa kuwa kuchelewa huko kunawaweka hatarini kuja kupata watoto wenye mtindio wa ubongo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI

Millen Happiness Magese. Na Martha Mboma
(ANAJIANDAA, anaonekana kuwa ni mtu mwenye hisia sana kabla ya kuanza kuzungumza, anamuuliza jambo Lucy Ngongoseke maarufu kwa jina la Lucy Kiwele ambaye anamwambia ajikaze azungumze, baada ya sekunde kadhaa anaanza kujielezea…) Naitwa Millen Happiness Magese ni mrembo wa Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 2001, kwa sasa nafanya kazi za mitindo nchini Marekani, kabla sijafika...

 

11 years ago

Habarileo

Wanawake 8,000 hufa kwa ujauzito kila mwaka

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen KebweLICHA ya mafanikio yaliyopatikana Tanzania, bado inakabiliwa na tatizo kubwa la vifo vya akinamama 8,000 kila mwaka kutokana na sababu zinazohusiana na ujauzito, vingi vikiwa vya vijijini.

Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi , Iddy Kimanta.

Alisema hayo katika sherehe za makabidhiano ya vyumba vitano vya kisasa na vifaa vya upasuaji, zilizofanyika juzi kijijini Mwimbi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanawake 8,500 kufariki dunia kila mwaka kwa sababu ya ujauzito

DSC07909

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Evidence for Action (E4A) Tanzania,Craig John Felar, akitoa mada yake juu ya kampeni ya ‘Muokoe Mama muokoe mtoto mchanga’ (Mama ye) kwenye semina iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vilabu vya waandishi  habari mikoa mbalimbali nchini .Semina hiyo ya siku mbili iliyoandaliwa na UTPC,ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Lion hotel jijini Dar.

DSC07908DSC07908

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vilabu vya waandishi wa habari Tanzania ,wakifuatlia...

 

9 years ago

Habarileo

Samatta akubali kubeba lawama

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesema wapo tayari kulaumiwa na mashabiki endapo watashindwa kuifunga Malawi leo. Samatta aliyasema hayo jana baada ya mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Malawi wa kutafuta kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi.

 

9 years ago

Mwananchi

Adaiwa kubeba kilo 22 za mirungi JNIA

Jeshi la Polisi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), limemkamata raia wa Uingereza, Faiz Abdullah Ali (55) kwa tuhuma za kukutwa na kilo 22 za dawa za kulevya aina ya mirungi ikiwa imefungwa kwenye kanga na kuhifadhiwa ndani ya mabegi mawili.

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi kubeba changamoto za walemavu

MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kutatua changamoto zinazowakabili.

 

9 years ago

GPL

MISS TZ: NAJUTA KUBEBA TAJI 2015

Mrembo wa Tanzania 2014-2015, Lilian Kamazima. Na imelda mtema Mrembo wa Tanzania 2014-2015, Lilian Kamazima amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa kuna kipindi anajuta kwa nini alijiingiza kwenye mambo ya urembo kwa mwaka huo kwani hakufaidi nafasi hiyo kutokana na adhabu ya kufungiwa ambayo ilimuathiri sana. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Lilian alisema kuwa mara nyingi unaposhiriki unakuwa na matumaini ya kushinda na baada...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK amekubali tena kubeba aibu ya Escrow

KILA kukicha serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekuwa ikifanya madudu makubwa yanayochangia kuzorota kwa maendeleo ya wananchi. Madudu hayo yananifanya niamini kwamba Rais Jakaya Kikwete hakwaziki nayo, inavyoonekana anaufurahia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gari za kijeshi zatumika kubeba maharusi

Gari za kijeshi (Deraya ) zinatumika kubeba maharusi mjini Moscow ili kusherehesha na kuachana na Magari ya kifahari aina ya Limo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani