Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK amekubali tena kubeba aibu ya Escrow

KILA kukicha serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekuwa ikifanya madudu makubwa yanayochangia kuzorota kwa maendeleo ya wananchi. Madudu hayo yananifanya niamini kwamba Rais Jakaya Kikwete hakwaziki nayo, inavyoonekana anaufurahia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Escrow yamtega tena JK

Jakaya-KikweteNA EVANS MAGEGE

SASA kuna kila dalili kuwa mwangwi wa kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow iliyotikisa mkutano wa 16 na 17 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utaendelea kusikika kwa namna ya kuihanikiza Serikali kuwajibika zaidi.
Dalili hizi zimeonyeshwa waziwazi na baadhi ya wabunge hususani waliokuwa vinara wa kupambana na kashfa hiyo ambao hawajaridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete dhidi ya watendaji wa Serikali na viongozi wa kisiasa walioguswa na ripoti ya...

 

10 years ago

KwanzaJamii

KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ametoa lawama kwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Ludovick Utoh,  kwa kuchelewesha ripoti ya uchunguzi wa fedha za akaunti ya Escrow kazi aliyopewa na Bunge la Jamhuri. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kafulila alisema licha ya kupewa kazi hiyo tangu Machi 20, mwaka huu, lakini mpaka sasa ameshindwa kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa bunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Kama mnalitafuta joka basi huyu escrow ni yai tena moja tu!

Hatupaswi kufurahia kushughulika na matokeo bali uhodari wetu wa kuzuia mabalaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Makinda amekubali Bunge liwe kichaka cha tuhuma za rushwa? 

 WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Kamati ya Nishati na Madini pamoja na baadhi ya wabunge, wanadaiwa kuhongwa na mbunge mwenzao wa Musoma Mjini, Nimrod Mkono (CCM) pamoja...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW


Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena. 
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu yetu, aibu yao...

Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.

 

9 years ago

Habarileo

Samatta akubali kubeba lawama

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesema wapo tayari kulaumiwa na mashabiki endapo watashindwa kuifunga Malawi leo. Samatta aliyasema hayo jana baada ya mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Malawi wa kutafuta kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi.

 

9 years ago

GPL

MISS TZ: NAJUTA KUBEBA TAJI 2015

Mrembo wa Tanzania 2014-2015, Lilian Kamazima. Na imelda mtema Mrembo wa Tanzania 2014-2015, Lilian Kamazima amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa kuna kipindi anajuta kwa nini alijiingiza kwenye mambo ya urembo kwa mwaka huo kwani hakufaidi nafasi hiyo kutokana na adhabu ya kufungiwa ambayo ilimuathiri sana. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Lilian alisema kuwa mara nyingi unaposhiriki unakuwa na matumaini ya kushinda na baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani