Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ramli-JK
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa kamwe Tanzania, kama ilivyo nchi nyingine yoyote duniani, haiwezi kuendelea kwa kutegemea mazingaombwe ama ramli bila kuwekeza kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea mazingaombwe na ramli — Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba mara baada ya kutunukiwa Digrii ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) katika mahafali hayo ya pili ya Taasisi hiyo jijini Arusha mwishoni mwa wiki. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
-Pia asema kuwa ubishi wa siasa hauwezi kutoa majawabu ya changamoto za maendeleo
-Asisitiza umuhimu wa internet akielezea kuwa elimu ya sayansi haipatikani kwenye magazeti
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Hatuwezi kuendelea kwa misaada, mikopo
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Mkenya anayeendesha maisha kwa kutegemea urefu wa kucha
10 years ago
Habarileo28 Apr
Watano watiwa mbaroni kwa upigaji ramli
WATU watano wa kijiji cha Mheza kilichopo Kata ya Mhinduro wilayani Mkinga wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa wakipiga ramli za uchonganishi zilizolenga kufichua wachawi.
11 years ago
Habarileo01 Mar
Lusinde: Hatuwezi kuruhusu kuzaliwa kwa Tanganyika
MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM) amesema kama wazee wa zamani walimwogopa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika kudai Serikali ya Tanganyika, ‘basi imekula kwao.’
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Hatuwezi kuudumisha Muungano wetu kwa propaganda, mipasho
JANA Aprili 26, 2014 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulifikisha miaka 50. Ni jambo la kujivunia. Rais Jakaya Kikwete alihutubia taifa kwa kupitia kwa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k3cBIFaWRtk/XrmRF6RIO2I/AAAAAAALp1U/ZSFE1fd_lF4pWYDRRlKLk_aHxlSmFU45QCLcBGAsYHQ/s72-c/Liquid-Telecom-Gen-Z-report.jpg)
KAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-k3cBIFaWRtk/XrmRF6RIO2I/AAAAAAALp1U/ZSFE1fd_lF4pWYDRRlKLk_aHxlSmFU45QCLcBGAsYHQ/s320/Liquid-Telecom-Gen-Z-report.jpg)
KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19
Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...
10 years ago
StarTV13 Feb
Tanzania yahofiwa kutegemea zaidi misaada.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Watafiti kutoka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali nchini wamebainisha kuwa huenda Tanzania ikajikuta katika utegemezi zaidi wa misaada kutoka kwa mataifa yaliyoendelea iwapo juhudi za makusudi na za haraka hazitachukuliwa kudhibiti vitendo vya uharibifu wa mali za Umma.
Tatizo jingine ni usimamizi mbovu wa rasilimali ikiwemo ukusanyaji hafifu wa mapato yanayotokana na rasilimali za maliasili za madini na gesi.
Katika mdahalo uliofanyika jijini...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Mwenyekiti wa CCM aonya kutegemea matajiri
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete amesema kitendo cha kutumia matajiri kama vyanzo vya mapato, kunadhalilisha chama hicho na haiwezi kuendelea kuvumiliwa.