Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hayatou hupenda kufanya mambo kimyakimya

Issa Hayatou ni mtu ambaye hapendi kuangaziwa sana na vyombo vya habari. Hata hivyo anajulikana kwa kuwa na msimamo mkali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mambo ya kufanya unapotafuta mfanyabiashara mwenza

Kama wewe ni mjasiriamali inawezekana ukawa unatafuta mtu wa kufanya naye biashara au kufungua kampuni pamoja. Inawezekana unatafuta watu wenye vipaji na uzoefu ili ufanye nao biashara pamoja ili kukuza soko lako. Hayo tote yanaweza kuwa ya msingi akin unapotafunza mwenza kibiashara kuna mambo ya kuzingatia; 1. Fanya kwa umakini. kila mtu anavutia mnapokuwa kwenye […]

 

11 years ago

Michuzi

Musley Al Rawahi apania kufanya mambo makubwa Simba

Musley Al Rawahi akisisitiza jambo.Mjumbe mpya wa kamati ya utendaji wa klabu ya Simba, Musley Al Rawahi, amesema kuwa silaha kubwa ya kufikia maendeleo katika klabu hiyo ni umoja na kufanya kazi kwa kujituma na uadilifu mkubwa.Musley ambaye mwaka jana alimzawadia gari kiungo wa Simba SC, Ramadhani “Messi” Singano kwa kucheza vizuri katika ligi kuu ya Tanzania Bara,  alisema hayo mara baada ya kutangazwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo na pia kuwa miongozi mwa wajumbe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chozi hupenda amani

CHOZI ni moja ya jamii za ndege wanaopatikana kwa wingi katika eneo la Afrika Mashariki. Chozi pamoja na ndege mwingine ajulikanaye kwa jina la  Kiingereza Spiderhunte, wanatengeneza familia ya Nectariniidae....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pomboo hupenda kucheza na binadamu

KAMA tulivyoahidiana wiki iliyopita, hii itakuwa ni sehemu ya mwisho katika awamu ya kwanza na simulizi kuhusiana na samaki mnyama pomboo. Pamoja na haya tutakayoyaeleza leo, bado kuna mambo mengine...

 

10 years ago

Mwananchi

Mjasiriamali hupenda kujivunia kile alichokifanya

Mjasiriamali ni mtu wa kufanya kazi kwa tija. Hawezi kupoteza muda wake pasipo sababu za msingi na pia hapendi kupotezewa muda wake. Mjasiriamali ni mtu mwenye kuona mbali na hutayarisha mikakati yake yenye kuona mbali.

 

10 years ago

Michuzi

MSAMA AWATAKA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUFANYA KAZI YA MUNGU NA SI MAMBO YA SIASA.

MKURUGENZI wa Kampuni ya Msama Promotions ambayo ndio inaandaa matamasha ya Pasaka na Krismasi, Alex Msama amekemea waimbaji wa muziki wa Injili Tanzania kufanya kazi ya Mungu na kuachana na siasa ambazo zinawaondoa kwenye uinjilishaji. 
Msama ameyasema hayo wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na urais unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Msama anasema karipio hilo linawahusu pia viongozi wa dini wakiwamo Wachungaji na Maaskofu  ambao wanaonesha nia ya kutaka...

 

9 years ago

Bongo5

Haya ndio mambo ambayo Nameless wa Kenya hushindwa kufanya kutokana na kuwa maarufu

Nameless nje

Maisha ya umaarufu yana raha na karaha zake, na faida na hasara zake.

Nameless nje

Katika vitu ambavyo watu maarufu kama wanamuziki na waigizaji huwa wanakosa ni uhuru wa kufanya mambo binafsi kama watu wa kawaida.

Nimetembelea ukurasa wa Instagram wa msanii wa Kenya, Nameless na kukutana na post yake akielezea jinsi alivyojisikia vizuri alipopata uhuru wa kufanya mambo ambayo huwa hawezi kuyafanya akiwa Kenya.

nameless

Nameless ambaye yuko Marekani kwenye show amepost picha hii na kuandika:

“The thing I love...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani